Monday, October 04, 2010

Mshiko Pennsylvania - Swahili Interpreter Needed

Wadau,

Kuna kazi ya kutafsiri huko Wilkes-Barre Pennsylvania siku ya jumatatu, 18/10/10.

Wasiliana na Dada Tia ili akupe habari zaidi. Kazi inalipa.

tswerifakhouri@lsaweb.com

2 comments:

Anonymous said...

kutoka lugha gani kwenda kiswahili? mbona hujasema?

emu-three said...

Ukiona hivyo mamboo yanaanza kuiva..tukikuzeni na kukitangaza Kiswahili, mwisho wa siku kitakuwa miongoni mwa lugha za kimataifa na hatutalazimishana kuifunza lugha za kigeni, `ili uonekane umesoma'