Sunday, October 31, 2010

Uchaguzi Tanzania

Leo ni siku ya Uchaguzi Tanzania. Baada ya siku chache naona tutajua nani ameshinda.

May the Best Man for Tanzania win.

1 comment:

Anonymous said...

da chemi matokeo ya awali yanaonyesha mchuano mkali kati ya slaa na jk. cuf imeshindwa kuwika safari hii