Sunday, April 24, 2011

The Harlem Renaissance Revisted with a Gospel Flavor

Wadau, kwa mara nyingine niliigiza katika mchezo wa kuigiza, The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor'. Nilirudia roles zangu za Mama Afrika na Ms. Thelma. Tulifanya show tatu wiki hii katika Chuo Kikuu cha U Mass Boston, Dorchester, Massachusetts, McCormack Theater.
Mimi na Charles 'Matumbi' Jackson baada ya show. Charles anaigiza kama Joe the Bartender.
Mimi na David Bowden kabla ya scene yetu ya Mama na Baba Afrika. Mama Afrika analilia wanae walioibiwa na kuwa watumwa Marekani na nchi zingine.
Mimi katika costume ya kwanza kama Ms. Thelma, David Bowden kama Aaron Douglas na kijana Zaccai kama Rudy the Paper Boy.
Mimi na Comaseen Lawrence. Hapa niko katika costume ya pili kama Ms. Thelma. Comaseen aligiza kama Ethel Waters.

3 comments:

Malkiory Matiya said...

Hongera sana Chemi kwa kutuwakilisha vema huko Marekani. Je nitaweza kununua copy ya DVD inayohusu production yenu? kama ndiyo naomba tufahamishe.

Anonymous said...

Hongera Da Chemi!

Anonymous said...

Hongera dada chemi....I see mmependeza kweli na jamaa mwenye suti ya bluu...ndio shemeji nini?