Saturday, April 16, 2011

Muganda - Ngoma ya Bila Jasho

Leo nawapeleka kwetu, Manda (mkoa wa Iringa) mfaidi Ngoma ya kwetu. Ni Muganda aka. Ngoma ya bila Jasho!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

haki ya nani unikumbusi kunyumba mlongo wangu....lya lya lya...

Anonymous said...

Kuna mpuuzi mmoja anasema "leo kula bure, kunywa bure, kulewa bure"

SIMON KITURURU said...

Ngoma poa sana hii!