Thursday, April 21, 2011

Ukitaka Uraia wa Marekani Haraka Jiunge na Jeshi

Sasa hivi Marekani kuna uhaba wa wanajeshi wa kujitolea. Sasa wanavutia wahamiaji ili wajiunge kwa kuwapa uraia haraka wakijiunga na jeshi...Asante Bush.

Ila ukijiunga usisahau unaweza kupelekwa kwenye vita Iraq au Afghanistan na sasa Libya halafu ukarudi kwenye sanduku. Ndugu zako watapata cheti chako cha Uraia (post humus).

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

U.S. Military New Citizens

1 comment:

Dr. Iglesias said...

Vita ya Libya. NATO unaua Gaddafi mwana mdogo na wajukuu watatu. Urusi ni kujiandaa kwa vita ya nyuklia ... Kuangalia kwa:

http://aims.selfip.org/~alKvc74FbC8z2llzuHa9/default_libia.htm