
Wadau, Mama Bishanga jina halisi Christina Innocent Hatia amefunga ndoa hivi karibuni huko Dar es Salaam, Tanzania. Bwana harusi ni Mr. Marolen kutoka Afrika Kusini.
Arusi ilifanyika siku ya tarahe 5 Machi, 2011 katika knaisa la St. Peters Oyster Bay. Reception ilifanyika Peacock Hotel.
Nawatakia maisha mema ya ndoa.
2 comments:
Hongera che mwali......
Walikupigia che nkwanda...?
CHE MWALI ULIPENDEZA BAA KUMBE WEWE WA MASASI?
Post a Comment