Monday, August 15, 2011

Madiwani Wafuturu Ikulu na Rais

Picha za Mh. Rais Kikwete na Mama Salma na madiwani wa Dar katika futari Jumamosi jioni Ikulu. Zimeletwa na Kaka Michuzi.


1 comment:

Anonymous said...

Hivi madiwani wakifuturu Ikulu nani analipa bili? Raisi awaalike maskini kufuturu!