Wednesday, August 17, 2011

Msiba - Prof. Joseph T. Karashani

(pichani Marehemu Prof. Joseph T. Karashani)


TAARIFA YA MSIBA


Tunasikitika kutangaza kifo cha Prof. Joseph T. Karashani, mkuu wa Kitivo cha Anatomy katika Chuo Kikuu cha Zambia (UNZA) Idara ya Udaktari na aliyewahi pia kishika wadhifa huo Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya (MUCHS) Dar es Salaam, kwa mshtuko wa moyo usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita nyumbani kwake Lusaka. Mpango unaendelea wa kusafirisha maiti kuja Dar es Salaam kwa ajili ya mazishi baadaye wiki hii. Kwa taarifa zaidi tunaomba mwasiliane na wafuatayo:


Fili Karashani +255-655-806771
James Karashani +255-713-334249
Robert Karashani +255-655-230960
Josephine Karashani +260-977-803853 (Lusaka)


MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
AMEN

No comments: