Sunday, November 06, 2011

Birthday ya Dada Doreen, Rhode Island

Jana Dada Doreen wa Rhode Island amesherekea Birthday yake ya 50 kwa party kabambe! Watu walijitokeza kwa wingi kusherekea naye.

Happy Birthday Dada Doreen!

Dada Doreen (mwenye blausi ya kijivu)


The Birthday Girl

Dada Doreen na baadhi ya Wageni

Dada Doreen akishika picha ya Mama yake mzazi wakato Wimbo "Sweet Mother" ulipigwa.

4 comments:

Anonymous said...

Mbona anaonekana bado kijana! Happy Birthday!

Kijaluba said...

Ahh nawapendaga hao...yaani hakunaga! I am 28 yrs old! Nimemtamani si utani!

Kijaluba said...

Dada Chemi vipi umefikisha salamu zangu kwa Dada Regina? We mtoto we kama hujafikisha salamu zangu ntakudai siku zote!

Anonymous said...

Happy Birthday! Pia ni vizuri kamkumbuka Mama yake. Mungu ambariki!