Wednesday, November 02, 2011

King Kiki Atakuwa Leominister, MA Jumamosi 11/5/11


Mwimbaji maarufu wa Tanzania, King Kiki, Anawakaribisha Leominster, MA Jumamosi Novemba 5, 2011

One Night Only!

Knights of Columbus Hall
484 Lancaster Street
Leominster, MA 01453

Saturday, November 5th, 2011  8:00PM - 2:00PM
$15 in Advance  $20 At the Door

Call Isaac at 413-219-1153
Siraji  at 978-478-1164
Rich at 413262 040

1 comment:

Anonymous said...

Kikumbi Muanza Mpango Muema, King Kikì, Bwana Mkubwa, Milioni, Maestro etc etc ...

Mikono juu au chini warushe waruke, wazungushe wazunguke, watimue watimke, wagalegaze mpaka wagalegale ukianzie zama za kale uwalete mpaka za sasa.

Wakati ukifika mambo yanajipa. Mungu yu pamoja nasi. Amen.

Tupo pa1.

Ni mimi kijana wako niliye Helsinki, Finland.