Saturday, January 21, 2012

Dr. Asha Rose Migiro Anaondoka Umoja wa Mataifa

UN Deputy Secretary General  Dr. Asha Rose Migiro

Kutoka The Citizen

Saturday, 21 January 2012

By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter

Dar es Salaam. - Dr Asha-Rose Migiro is leaving her high profile posting
as deputy secretary-general of the United Nations.* Having served the
UN for five years as the second in command following a surprise
appointment in 2007, she is expected home in the next few weeks.


UN Secretary General Ban Ki Moon appointed her upon his election to
succeed Dr Kofi Annan, possibly as a reward to Tanzania, which was
said to have played a key role in helping the former South Korean
foreign minister win the job. Dr Migiro was the first woman to land
the post.

A former foreign minister herself, she is leaving at a time when Mr Ki
Moon is lining up a new team to carry forward his agenda after he was
re-elected last year for a second and final five-year term.

The permanent secretary in the ministry of Foreign Affairs and
International Cooperation, Mr John Haule, confirmed the news
yesterday.* The PS said Dr Migiro’s tour of duty at the New York based
UN headquarters was over. “We have not received an official document
from the UN, but I’m aware that her tenure is almost ending,” Mr Haule
said on the phone. “She also confirmed this development on Thursday.”

The PS noted that the UN was undergoing major reforms that were bound
to affect its offices worldwide under the “Delivering as One”
programme. “But we at the foreign affairs are not the spokespersons on
Dr Migiro,” Mr Haule added.

Separately, a source in Washington told The Citizen yesterday that
news of her imminent departure from UN was circulating among close
friends and Tanzanians living in the city.

“We have heard that she applied for an extension of her contract,”
said one of the sources in an email communication.* “But that is
likely not going to happen as sources close to her say she is planning
to return home.”
*
Dr Migiro is said to be in the process or organising how one of her
children, who is enrolled in school in New York, can complete her
studies without interruption.

She was the third deputy secretary-general and the first African woman
to hold the prestigious post that was established by the General
Assembly at the end of 1997 as part of reforms in the United Nations
to help manage secretariat operations and ensure coherence of
activities and programmes. The position was also meant to elevate the
organisation's profile and leadership in the economic and social
spheres.

In his New Year address, Mr Ban said he intended to build a new team
that was strong on substance and diverse in composition—what he called
“a team that works as one”.

He added: “Leading by example, I have placed priority on mobility,
combining fresh perspectives and institutional continuity and
synergy.”

With these criteria in mind, he said, he was undertaking a thorough
review of the entire team and its management structure.

http://thecitizen.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/19047-migiro-leaves-un-post.html

8 comments:

emuthree said...

Huyu kweli ni mwanamke wa shoka, hongera sana

Anonymous said...

Je, anaondoka sababu ya ile skandali ya waisraeli? Si walidai kuwa Tanzania ni nchi isiyo na thamani! Hongera kwa kazi nzuri huko UN Mama Migiro!

Anonymous said...

Kwa mujibu wa Habari hii iliyotolewa na The Citizen, inaonekana Dr. Migiro ameshindwa kufanyakazi kama timu moja.....huenda kulikuwa na kutoelewana kati yake na Ban au/na wafanyakazi wengine, ndo maana Ban anataka kuunda timu nyingine yenye nguvu na itakayofanyakazi kama timu moja. Tusubiri yeye mewnyewe atasema tu, lakini tunamkaribisha Bongo na hasa ktk kinyang'anyiro cha Ukuu wa Inchi, au Uspika kama atapenda.

Anonymous said...

Kitendo cha Tanzania kuwa kinyume na israeli isyo kizuri kabisa.

Sisi wakristo tunapenda uhusiano na Israeli na kiimani Israeli ni ndugu zetu.
Tanzania inapounga mkono Gadafi, na maadui za israeli ndio maana Waziri wa ulinzi alitaja Tanzania, Mauritania na nchi ya kusadikika " Tripolitania" kummanisha hawa ni vikaragosi wa Gadafi.

Mafuriko yaliyojitokeza hivi karibuni ni mapigo ya kuwahujumu na kuwapinga israeli. Na ajira ya mama ndio imefikia ukomo.

Pole sana

mugo said...

Anony wa 6:11am hapo chini,kwanza serikali ya Tanzania haina dini; kwahiyo kutaka Tanzania ifanye maamuzi yake kulingana na imani zenu nyinyi wakristu sio sawa na katiba ya nchi inakataza hivyo.Mimi huwa nashangaa siku zote huwa wakristu tu ndio wanapenda kutangaza undugu na wayahudi lakini bado sijasikia wayahudi wakitangaza wazi wazi kuwa wakristu ni ndugu zetu.N mara nyingi tu hao wayahudi upenda kuwashushua wakristu kuwa ilo agano la kale si kitabu kinacho wahusu wao wakristu ila ni kitabu chao wayahudi labda huu undugu ndio unakuja ktk wote kutumia agano la kale.

Anonymous said...

Eti waisraeli ni marafiki wenu nyie wakristo? Hivi huko Palestine na Lebanon hakuna wakristo? Unafikiri hao ni waislamu watupu wanaoishi huko? Wayahudi hawana ukaribu wala urafiki na wakristo, dini yao ni tofauti kabisa na ukristo na wanaupinga ukristo, acha kujikomba eti mafuriko yaliyotokea sababu ya kuwapinga wayahudi. Na mafuriko yaliyotokea Marekani je kuanzia yale ya Katrina na yaliyotokea mwaka jana ni kwa ajili ya kupinga wayahudi? Na yaliyotokea huko Thailand na sehemu hizo za Asia baada ya monsoon nao walikuwa wanapinga wayahudi? Upeo mdogoo kisha unatoa kidole nje ya chupa!!

Anonymous said...

Tunawatu smart hapa.Na kama viongozi wakitumia uwanja huu .Nchi itakuwa safi.Unifumbua macho sana.Kweli tusiwapeleke kwanza vijana jeshini[JKT]kwani wakimaliza na hawana mikakati yeyote ile ,mikopo kupata ni kazi ,miundo mbunu mibovu.Itakuwa kumbe tumetengeneza bomu .Watakuwa majambazi wa nguvu na wenye ujuzi wa hali ya juu.Kwanza tutengeneze mwanga[nuru]kama alivyosema .Na wakaona kufanya ujambazi na kulima hipi ni bora.wenyewe wataona Nuru.Sasa hivi watu wanaingia kwenye ujambazi ,moja ya sababu wamekata tamaa ya maisha,akikaa hivi atakufa kwa njaa,afadhali akafe kazini au atoke vizuri,ndivyo vijana wanavyosema.Lazima sasa tufikie sehemu tuangalie ,nini muhimu kwa nchi yetu.Na tuangalie sector zote ili kuziboresha,kuanzia kilimo[cha kisasa],madini,utalii,viwanda, nk.Kuna watu wanafanya kazi kwenye sector kama hizo hizo huku nje.Kwa nini serikali hisipokee ushauri wa watanzania wa nje na wa ndani?Na kuwaachia wafanye kazi na sio siasa iwaingilie.Ndio Maana naomba kwanza KATIBA nzuri .itawabana wanasiasa.Wataalam watafanya kazi yao vizuri kwa ajili ya Taifa hili La UMATONYA .Sio lazima waje huko waajiriwe ,mnaweza kutumia busara zao tu.Unajua Tanzania imeharibiwa na ulafi wa madaraka,chuki ubinafsi na wala sio taifa mbele.Mtu akitoa wazo zuri tulichukue na kulifanyia kazi.Haiwezekani nchi yetu inadidimia bure huku tunaona.Itakuja siku watoto wajukuu zetu watakuja kubomoa makaburi yetu kutokana na ushenzi na kuwaweka kwenye hali ngumu ya maisha hapo baadae.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Anonymous said...

Nakumbuka hata mnajimu wa Kiisilamu ambaye alifariki mwaka jana aliwahi kusema wazi wazi kuwa Tanzania ikija kuharibika itakuwa imeharibiwa na waisilamu siyo wakristo.

Maneno haya yanaanza kujionyesha ukweli wake. Mungu ameruhusu viongozi wakuu wote wa ngazi ya juu kuwa waisilamu. Lakini badala ya kumshuru Mungu waisilamu ndiyo wanataka kuanzisha vurugu za kila aina.

Ukiona hivi ndio ujuwe kwamba hakuna jema linaloweza kutoka kwa waisilamu.

Mtu mmoja aliniambia hata maandiko yao wenyewe yanasema " Muisilamu alizaliwa kwa ajili ya ubaya"