Saturday, January 28, 2012

Umuhimu wa Shanga - Wakubwa Tu


Nilivyogundua umuhimu wa Ushanga

Imeandikwa na Dada Chiku

Haya Akina Dada,

Somo leo ni USHANGA. Kwanza Ushanga ni nini? Kwa kimombo, ni beads. Ukipita mitaa Kariakoo, utakuta kila rangi na design zinauzwa na akina mama wa kiMasai (Wanafanya Consultation pia). Zile ndogondogo kabisa siyo hizo kubwa za kuvaa kwenye nywele. Ni pambo muhimu mno kwenye mwili wa mwanamke. Hata kwa watoto wadogo, aliyevaa shanga, unajua ni msichana huyo.

Sasa mimi nilijfanya nime’zungu’tika, na kuaacha kuzivaa. Hasa baada ya ushanga niliyovaa kukatika na kumwagika nikiwa kwenye daladala. Uhusiano na boy-friend wangu ilikuwa kwenye Plateau…..yaani flet. Huyo boy-friend mimi nilimpenda sana. Nikaenda kwa Aunti wangu Temeke na kumwelezea shida yangu na kumwaomba Ushauri.

Aunti akanipeleka chumbani kwake. Akaniambia nivue nguo. Nilisita kwanza, lakini alisisitiza nivue. Nikavua. Akatazama mwili wangu, akasema, kweli mwili wako bado nyororo, lakini umekosa kitu kimoja muhimu….USHANGA!

Nilipigwa Butwaa… Ushanga! Aunti alisema, ndio umekosa Ushanga. Alienda akafungua sanduku yake, akanipa enye rangi ya light blue, njano, na red. Nikazivaa kiunoni Aunti akaanza kutabasamu, akaniambia, haya vaa sasa na nenda kwa boyfriend wako. Uone kama mambo ni tofauti.

Nilienda nyumbani, niloga na kuvaa nguo ya Outing. Nikapanda daladala na kwenda mjini. Nilikutana na boyfiriend wangu Posta Mpya …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu. Alivyogusa ile shanga aliyonipa Aunti akawa kama mwili wake imekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa mboo yake ile kuwa ATTENTION!

Akaniuliza taratibu na kipole , "Chiku mpenzi, umevaa nini?"
"Nikamjibu kwa aibu , " Nimevaa Ushanga mpenzi".
Akasema, " Mimi najua kuwa ni ushanga ila tangu tuwe marafiki hujazivaa"
"Kweli, mpenzi. Aunti amenipa leo"
"Huyo aunti wako mjanja, anajua mambo"

Wimbo ulivyoisha tukaondoka kwenda nyumbani kwake. Siku hiyo sex ikawa nzuri kuliko siku zote ambazo nilikuwa naye. Alikuwa na furaha mno. Kesho yake kazini kwake, akawa anatabasamu mpaka wenzake wakamwuliza ‘Vipi’. Na mimi nilipanda daladala kwenda Kariakoo, nilinunua shanga nyingi za kila rangi. Baada ya hapo nilienda duka na kumnunulia Aunti Zawadi ya Khanga kama shukrani.

Niliporudi Temeke kwa Aunti, alipoona natabasamu tu alijua mambo ni OKAY!

Akina Dada, ni muhimu sana kuvaa ushanga. Ni njia moja ya kumtia ashki mpenzio.

*******************************

* Nimerudia hii posti baada ya kupata maombi kutoka kwa wasomojai kadhaa. Posti ya awali ilikuwa 7/15/09.

28 comments:

Fadhy Mtanga said...

Mmmmhhhuuu! Kweli hii chakula ni kwa wakubwa tu. Thanx sana kwa somo zuri kwa madada. Mi nategemea wakishasoma hapa mambo uwanjani yatabadilika. Kwa wanaofanya hivi, Excellent, keep it up!

Anonymous said...

DA CHEMI HII STORY INANICHEKESHA SHANGA MIMI HUWA ZINANISHINDA,MUME WANGU NIKIMUULIZA ANADAI HAZIPENDI JE ANAWEZA AKAWA ANANIDANGANYA AU ANAONA AIBU?

LaMbegu said...

Bado hujajibu kwa nini wakinadada wanavaa shanga. Kuna nini kwenye shanga kinachomfanya mtu ahamasike?

Mjuzi said...

Suala ni mind-set, hakuna cha ushanga wala nini.

Anonymous said...

Shanga zinatosha kumtia ashki mwanaume. Wapi naweza kuzipata! Niko Michigan!

Anonymous said...

kama mpini hauingii kwenye kinu ushanga waweza saidia...lakini kama nyoka anaingia shimoni bila shida...ushanga hauna nafasi!

unaleta kauzibe tuuuuuuuuuu

Anonymous said...

kila rangi ya shanga ina maana yake plzzz kungwi tuelezee maana za shanga.

sure shanga zilikuwa deal ila maana zilikuwa zinaonekana kwenye nyeti tu, lakini sasa shanga zinavaliwa kila kona pete,bangili,cheni zote za shanga so zimepunguza mnyegezo wa mapenzi.

sasa hivi mujitahidi ktk miuno tu.

Anonymous said...

Da-Chemi, je wewe unazo round ngapi?

Anonymous said...

Dar cemi, wewe unazo shanga ngapi kiunoni? mimi kama mwanamke wa kitanzania sioni kama shanga ni kitu kibaya kwa kuwa tumelelewa katika mazingira ya mama zetu wakiwa wanavaa shanga tena nyingi tu kiunoni, hata sasa ni ukweli usiofichika wanawake wengi na hata wasichana utawakutawamevaa shanga labda hata sita au nne tu. Shanga zinapendezesha mwanamke kiunoni na ni nzuri mkumvalia mwanamke wako kama kweli anapenda na ni utamaduni wako. Binafsi kama mwanamke navaa shanga japo huwa sizidishi sita za rangi tofauti ili kulemba kiuno changu hata mwanamme akikuona kiuno anaona tofauti kati ya kiuno chake na changu. Nasubiri mawazo ya wananwake wenzangu, lakini sitarajii mtu atasema ni makosa kuvaa, la muhimu ni je huo ni utamaduni wako kuvaa?

Bennet said...

Haya ni mambo ya Chiku mtundu hivi siku hizi web adress yake ni ipi?

stevie-Houston said...

Chemi nilishakujlisha juu ya uwezo wako mkubwa kwenye kelezea haya mambo naamini hata utendaji wako ni mzuri vilvile sik zote ukielezea mimi hujihisi dunia tofauti narudia tene naomba nafasi moyoni mwako.

Anonymous said...

Ngoja nikusimulie kisa kimoja nilipokuwa nyumbani. Alikuwepo kijana mmoja yeye alikuwa anavaa shanga!! Alikuwa sio mseng.....
ila alitaka kuvaa shanga tu!! Alipokuwa akilala na msichana, msichana yule alikuwa anashangaa kuona kijana kavaa shanga!! Alikuwa ahamini. Yule msichana alimsimulia rafiki yake juu ya mpenzi wake wa kiumme kuvaa shanga!! Rafiki yake hakuhamini kama ni kweli
alijipitisha pitisha kwa yule kaka mpaka akalala naye, alivyogundua kuwa alikuwa amevaa ushanga, alimsimulia rafiki yake mwingine na rafiki yake naye alifanya njama mpaka akampata yule kijana. Yule jamaa aliwapata wengi kwa ajili ya ushanga.

Anonymous said...

Niliwahi kukutana na mwanamke mmoja alikuwa amevaa shanga 36. Ndio, shanga 36. Ni wa kutoka kusini mwa Tanzania.

Anonymous said...

Hey 'Anonymous' above! Hope the 'shanga-wearing-dude' remembered to use CONDOMS; for his sake, and for the sake of all those curious ladies~ as "Curiosity killed the cat"...

Anonymous said...

Hiyo mikufu ya shanga huwa hazivunjiki wakati watu wanavyocheza ngoma za vitandani? :)

Unknown said...

translate please :(

Anonymous said...

Asante kwa ushauri wa bure. Nimejaribu mara kadhaa kuvaa hizi shanga lakini mwenzangu inaonekana siyo kutozipenda tu bali pia zinamkera. Mara ya mwisho ikafikia kuniuliza una mwanaume mwingine anayependelea shanga ndyo unavalia? Kwa kifupi, nilichosoma ni kuwa si wanaume wote wanahamasika kukutana na mwanamke mwenye shanga kiuononi

Anonymous said...

Sasa huyo kaka nae wa ajabu, kumbe alitaka shanga si angesema tu... au alitaka sapraizi?
Shanga jamani ni mazoea, kama hujazoea shanga ni kazi sana kuzivaa maana mmh?

Anonymous said...

Kwa mwanamke kuvaa shanga mimim sioni baya lolote kwa kuwa ni maamuzi yake na wala si sahihi kwamba kila mwanamke anayevaa shanga anamvalia mwanaume. Mimi naona kama shanga ni mapambo ya mwanamke kupamba kiuno chake tu hata kama mme wake hapendi shanga.shanga zikiwa kiunoni kwa mwanamke mimi kama mwanaume naona sawa tu na kama anapenda nizishike nitashika hazipunguzi lolote katika mapenzi ila zinaongeza mapambo kiunoni kwake na zinavutia. Wengine nimeona wanavaa hata shanga ishirini na wanapendeza tu

Anonymous said...

Kwa mwanamke kuvaa shanga mimim sioni baya lolote kwa kuwa ni maamuzi yake na wala si sahihi kwamba kila mwanamke anayevaa shanga anamvalia mwanaume. Mimi naona kama shanga ni mapambo ya mwanamke kupamba kiuno chake tu hata kama mme wake hapendi shanga.shanga zikiwa kiunoni kwa mwanamke mimi kama mwanaume naona sawa tu na kama anapenda nizishike nitashika hazipunguzi lolote katika mapenzi ila zinaongeza mapambo kiunoni kwake na zinavutia. Wengine nimeona wanavaa hata shanga ishirini na wanapendeza tu

Anonymous said...

Mimi napenda sana mwanamke wangu avae shanga maana zinanitia mzuka sana ninapozishika na kuzichezea hapo kiunoni jamani usipime pana utamu wake hasa kwa kina dada ambao wamejaaliwa kuwa na viuno vilivyokaa vizuri kimviringo,

Zinahitaji umahiri namna ya kuzitundika kiunoni na kuzipanga na nakuambia hakuna mwanaume ambaye atazikataa shanga zikivaliwa vizuri, labda huyo mwanaume awe na mawazo potovu ya kishirikina kwa sababu nimewahi kusikia kuwa shanga zinatumiwa na kulogea ili wanaume wasiwaache mademu wao.

Kama wewe mbishi fanya jaribio kwa demu/mke wako kanunueni halafu mwambie avae halafu akuachie huko chumbani ageuke kulia kushoto nyuma mbele huku mwanga ukimwangaza mbona utachanganyikiwa kama si kumbaka pasipo kusubili ridhaa yake.Watu hamjajua mapenzi ninyi mnasikia vitu bombani tu!!! Jaribisheni muone utamu wake.

Anonymous said...

Aliyeziita shanga 'chachandu' hakukosea. Yaani ukizipapasa tu lazima mashine iitike.

Anonymous said...

Nashanga mjadala haupati michango ya wanawake ambao wao wenyewe ndiyo wavaaji wa shanga tukawasikia wanasemaje kuhusu topic hii.Ebu tupeni mawazo yenu kuhusu uvaaji wa shanga

Anonymous said...

Different strokes, for different folks. Whatever turns you on... Enjoy!

Anonymous said...

Shanga noma jamani zinatia mzuka zikivaliwa na mtoto wa kike,Nimetokea kukutana na wadada wawili hivi jamani shanga zilinitia hamasa ambayo sikuwahi kuipata kabla.

zenyewe tu ni burudani tosha ukiwa na mrembo huko mlikojificha asikwambie mtu bana.Mtoto wa kike aliyevaa na kuoga safi halafu katundika hizo shanga halafu akutolee vyote vilivyomwilini abaki na hizo shanga,hahahahahaaaaaaaa ukisikia ya Musa basi ya filauni yasubilie hapo.

Anonymous said...

Dada anonymous namba 2, wewe tafuta shanga idadi unayotaka, vaa , mume wako akute unazo umezivaa tu kama surprise usikie kama atakuambia uzivue ama atanyamaza tu. Na akikaa kimya wewe endelea kuziacha kiunoni tu na usizivue utashangaa siku zote zitakuwapo kiunoni na htakuambia uzivue. Wanaume wanaogopa kuulizwa waliziona wapi shanga na kuzipenda. Mimi mme wangu pia alikuwa hivyo hivyo, nikamvalia, maajabu siku hizi nikizivua tu anmaniuliza swali moja tu, ina maana wanaume siku hizi humu ndani tuko wawili? akimaanisha kiuno hakina shanga.

Anonymous said...

heheheyaaaahhh mambo ya shyyyyyngaaa hayoooo......

Anonymous said...

Teh teh teh