Friday, September 07, 2012

Ufunguzi wa Shina Jipya la CCM Leicester, U.K.


CHAMA CHA MAPINDUZI.


TAWI LA UNITED KINGDOM.

Website: www.ccmuk.org E-mail: ccmlondon@gmail.com


MKUTANO WA UFUNGUZI WA SHINA JIPYA LA CCM LEICESTER, UINGEREZA:


Kidumu Chama cha Mapinduzi!

Kutakua na mkutano wa ufunguzi wa shina la CCM Leicester, Tawi la UK.

Katika mkutano huo vile vile kutakua na uandikishaji kwa wanachama wapya na pia uchaguzi wa viongozi wa shina.

Viongozi Wapya wa TAWI, CCM UK pia watakuwepo


Wote mnakaribishwa Mkutano utafanyika siku ya Jumapili Tarehe 09.09.2012 kuanzia saa sita mchana ambapo chakula cha mchana na vinywaji Vitapatikana.

Mkutano utafanyika:

UNIT 6
FIRST FLOOR
KOCHA HOUSE
MALABAR ROAD
LEICESTER
LE1 2PD.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na: Moses Kusamba, Kupitia namba zifuatazo.

07405272879/ 07903621150.
ABRAHAM SANGIWA
Naibu Katibu Siasa na Uenezi
Chama Cha Mapinduzi Tawi la Uingereza

Imetolewa na Idara ya Siasa na Uenezi, Tawi la CCM ,Uingereza.

Tarehe : 07 September 2012.

No comments: