| Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Ndugu Ananilea Nky, akikmkaribisha Mbunge wa Afrika Mashariki, Mh. Shy-Rose Bhanji kwenye ofisi za TAMWA, Sinza |
| Mbunge wa Afrika Mashariki, Mh. Shy-Rose Bhanji akikabidhi shs. milioni mbili (2,000,000/-) kwa TAMWA ikiwa ni mchango wake kwa TAMWA kuendeleza harakati zake nchini. |



No comments:
Post a Comment