Friday, September 07, 2012

Bi Kidude Hajafariki, Amelazwa Hospitalini Zanzibar

Bi Kidude


Habari za kizushi zilizosambaa kwa kasi ya ajabu kuhusu hali ya bi kidude kwamba amefariki dunia ni za uongo. Ndugu na jamaa wa Bi Kidude  wamekanusha uzushi huo na  wameweza kutoa ufafanuzi kwamba bi kidude amelazwa kwenye hospitali ya Hindu Mandal visiwani Zanzibar na bado anaendelea na matibabu yake.

Bila shaka Bi Kidude ataishi maisha marefu.

No comments: