Saturday, October 12, 2013

Halahala na Ugonjwa wa Vibrio Vulnificus!

Watu zaidi ya 10 wamefariki dunia huko Florida kutokana na ugonjwa wa Vibrio Vulnificus!  Unaweza kuipata kutoka maji ya chumvi yaani maji ya bahari kama una kidonda mwilini mwako! Utadhani una vipele, kumbe ndo ugonjwa enyewe na unaua haraka. Dalili za ugonjwa huo  zingine ni kutapika, kuahrisha na maumivu ya tumbo.


Wataalam wanasema kuwa hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwa vile wanaoathirka ni wale ambao wana matatizo ya kinga ya mwili. Vijidudu vyake vinafanana na vya kipindupindu.
Kwa habari zaidi  BOFYA HAPA:


http://seattletimes.com/html/health/2022022747_killerseawaterxml.html?syndication=rss
Muathirika wa Vibrio Vulinificus

No comments: