Monday, October 07, 2013

Huyo Dada Anaomba Ushauri Wenu - Mazito

Nimepokea kwa E-mail:

 "Naitwa MARRY nipo chuo mwaka wa pili. Nna rafiki yangu mmoja ambaye nipo nae chuo ambaye ni family friend wetu maana parents wake na wangu wana ukaribu since muda mrefu kidogo. Huyo Baba wa best yangu aliwahi kunitokea kipindi cha nyuma na alikuwa akinipa zawadi za gharama sana ikiwemo laptop na simu ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwangu chuoni ingawa rafiki yangu hajui kuhusiana na hilo.

So ili kuzidisha ukaribu wa family zetu nikaona sikuona sababu ya kumnyima ila nilimuomba tufanye kwa siri sana ili tusije gundulika, na hadi leo tunaendeleza uhusiano wetu. Sasa juzi wakati nipo nae hotelini wakati amekwenda kuoga nikachunguza simu yake nikakuta picha za mama yangu akiwa kapiga nae faragha na jumbe nyingi za kimapenzi walizochat kupitia WhatsApp, Viber na sms. Kitendo cha Mama yangu kumsaliti baba yangu, na pia kutaka kunipokonya bwanaangu kimeniuma sana sio siri. Naomba mnishauri cha kufanya ili niweze kuwatenganisha kwa amani ili familia zetu ziendeleze ukaribu bila wengine kugundua kinachoendelea. Please I need your help on this."

 

8 comments:

Anonymous said...

Anaitwa Marry au Mary? Wabongo wengi hatujui ku-spell majina haya.

Anonymous said...

nimesoma hii habari ya huyu dada anayeomba ushauri kitu kimenishangaza ni kwamba huyu binti,kitu anachokiona yeye ni kibaya hapa ni mama yake kumnyanganya bwana wake kana kwamba huyu bwana kisha halalishwa kisheria yaani ni bwana wake wa ndoa.Hii ni ajabu na kweli ya dunia,huyu binti haoni ya kwamba anafanya makosa kutembea na huyu baba ambaye ni friend family na ni kama baba yake tu.Kweli dunia imeisha ukistaajamu ya musa utayaona ya furauni na pia haona ubaya wa huyu baba kuwachanganya yeye na mama yake? maana nafikiri mama yake huyu binti ajui kabisa kama huyu baba anawachanganya kwakutembea nao wote huyu baba ni mchafu sana anatumia uwezo wa hela aliyokuwa nao kufanyia ufirauni hata sijui hawaogopi ukimwi!!! sasa nakuja ktk ushari aliyoomba huyu dada ni kwamba aachana na huyu baba kabisa azingatie masomo zaidi hivyo vitu anavyohongwa na huyu baba ajue kabisa akisoma vizuri amalize elimu yake atakuja kupata zaidi ya hivyo huyu baba anataka tu kumwaribia rafiki yake familia yake kweli nimeamini duniani hakuna rafiki wa kweli rafiki ni mkia wa fisi yaani sipati picha huyu baba akija kujua huyu rafiki yake anamwaaribia familia yake itakuwaje haswa kwa huyo binti anayesoma binti ushauri ninaokupa mimi kimbia sana usiendeleze urafiki na huyo baba nishetani kabisa kaana naye mbali sana atakuja kukuchonganisha na mama yako na ninavyoona huyu baba atakuwa na wanawake wengi sana ongopa ukimwi pia wewe bado mdogo sana ni hayo tamaa mbele mwisho majuto ni hayo.

Anonymous said...

Mashetani wachafu!

Anonymous said...

Hii ni ya nusu mwaka,tamaa hizi mbaya,ushauri gani unataka hapa,wewe binti mjinga sijswahi kuona.

Mbago said...

Message kwa Anonymous aliyeandika October 08, 2013 7:57 AM: Jifunze kuandika, kutumia nukta na mikato, rekebisha maneno kama 'ajui', sahihi ni 'hajui'. Wewe mtu wa wapi wewe? umesoma hata kidogo?

EzDoezIt! said...

Mary. Mary. Mary. Mambo matatu: Kwanza, umesema kwamba mnafanya kwa siri, hii inaonyesha kwamba unafahamu unachofanya hakitakubalika kijamii. Mbili, unahongwa. Jaribu kufikiria hii inakuweka katika kundi gani la watu. Tatu, jaribu kufikiria ni mtu wa aina gani anaweza kuwa na uhusiano wa aina hiyo na mtu na mama yake, jiulize kama huo urafiki wa kifamilia ni wa kweli au huyo mdingi anajua anachokipata kutoka kwenu wawili. Jiulize pia kama mtu wa aina hiyo anaweza kuwa na watu wengine mbali na nyie wawili. Swali la nyongeza: Jiulize huo uhusiano kati yenu watatu utaishia wapi. Kwa vyovyote, huwezi kuamini kwamba itakuwa ni siri daima, au kuwa mwisho utakuwa mzuri. Sasa hivi uko kwenye treni ambayo inaanza kushuka mlima, haina breki lakini mwendo haujakolea, bado inaenda taratibu. Ruka.

MATANGALU said...

cha kufanya na wewe mpe kuma babaako ili kumuadhibu mamaako.

kenge wee

Anonymous said...

Aendelee tu kubanjuliwa na huyo mzee.