Friday, October 25, 2013

Senator Ted Cruz Atukana WaNigeria! WaNigeria Waishio USA Wachachamaa!


Makubwa!  Senator Ted Cruza ametukana waNigeria! Alisema kuwa wale matapeli wa Nigeria wamehamia kwenye simu za maofisi ya Obamacare!  Ni kweli kuna waNigeria matapeli na wameharibu sifa la Nigeria, lakini ukweli wengi ni watu wazuri na ni wasomi.   Leo hata Balozi wa Nigeria nchini Marekani amesema lazima Cruz aombe msamaha.  Ajabu Texas anapotoka huyo Sen. Cruz ndo kuna waNigeria wengi kuliko sehemu zingine Marekani.

Huyo Senator Cruz ni moja wa wale wahuni wa Tea Party walifanya serikali ya Marekani ifungwa kwa wiki mbili wakitaka Obamacare ifutwe. Wabaguzi wakubwa!

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

 KUTOKA HUFFINGTON POST:

The Nigerian government is demanding an apology from Senator Ted Cruz (R-Texas) after he joked last week that the new Affordable Care Act exchange website was being run by Nigerian email scammers, Politico reports.
Ambassador Ade Adefuye told Politico that Nigerians are “disappointed and shocked” by the remarks, adding that Cruz "should not denigrate Nigerians in order to appease these domestic constituents.” The ambassador the statement "was a joke that went too far, and we demand an apology.”
The Houston Chronicle reported on Monday that, before a crowd of tea party supporters, Cruz knocked the new health care system: “You may have noticed that all the Nigerian email scammers have become a lot less active lately. They all have been hired to run the Obamacare website.”
A spokeswoman for Cruz told Politico the remarks were made jokingly and were not intended to offend Nigerians.
Cruz has been a leading figure in the Republican effort to block the implementation of the new health care law.2 comments:

Anonymous said...

Hao manigeria ni matepeli. Huyo senata hajakosea!

Anonymous said...

Ni kweli wanigeria ni matepeli kupindukia. Lakini hiyo ni kashfa na dharau kwa Obamacare.