Wednesday, October 16, 2013

Kondomu ya Kisasa Itakuwa na Kinga Dhidi ya UKIMWI

Wadau, habari njema hasa kwa wanawake. Kuna kondomu iliyobuniwa ambayo itazuia mimba na magonjwa. Hiyo kondomu ni kwa ajili ya wanawake. Utaweza kuivaa siku kadhaa ukeni halafu inayeyeyuka enyewe. Ikiyeyuka unaweka nyingine. Mpenzi wako hataisikia! Jamani, tunaomba ije haraka hata leo hii!

*********************

 In October of this year, the Bill & Melinda Gates Foundation awarded University of Washington researchers almost $1 million to pursue a new female condom made from a futuristic fabric that's electrically spun from tiny, nanometer-sized fibers. This weaving process allows the condom's fabric to do a number of things traditional latex can't, such as delivering anti-viral drugs, releasing chemical contraceptives into the bloodstream (just like the birth control patch), or even dissolving after a few days of wear. Kwa habari kamili BOFYA HAPA:

Female Condom Teaching Model
 

No comments: