Saturday, November 02, 2013

Fesheni Mpya ya Picha za WanaHarusi Bongo

Wadau, naomba maoni yenu kuhusu hii picha. Mimi nasema Tarzan angefurahi sana kuona wanaharisu kwenye miti! Bibi harusi alipandaje na hiyo gauni na heels?

4 comments:

Anonymous said...

KAMA MAENEO YA MKWAWA IRINGA ILA SINA UHAKIKA SANA.WAMETOKA KIVYAO

Anonymous said...

Viatu vya bwana harusi Duh!

Anonymous said...

iko pouwa..na wamependeza sana kitu natural.

Anonymous said...

Haifai! Wanaharusi kwenye mti kama ngedere!