Showing posts with label Harusi. Show all posts
Showing posts with label Harusi. Show all posts
Tuesday, February 07, 2017
Thursday, June 09, 2016
Ibada ya Uchumba wa Richard Jeremia na Kulola Yafana Huko Mwanza
Richard Jeremia (Kulia) akimvisha pete ya Uchumba, Mchumba wake, Happness Daniel Kulola (Kushoto). Ibada ya kutangaza Uchumba huo ilifanyika jumapili iliyopita, June 05,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Dr.Daniel Moses Kulola.
Sendoff inatarajiwa kufanyika June 29,2016 na Harusi Julai 03,2016.
Imeandaliwa na BMG
Thursday, April 14, 2016
Saturday, November 07, 2015
Kizee wa Miaka 72 Aolewa na Kijana wa Miaka 22
Wadau, kijana wa miaka 22 kutoka Dominican Republic, amemwoa bi kizee tajiri wa kiMarekani mwenye miaka 72. Ni mapenzi au.... labda kizee anapenda ngono anayopata kutoka kwa huyo kijana, na huyo kijana anataka hela ya huyo bi kizee na pia atapata makaratasi ya kukaa Marekani. Haya tuwatakie maisha mema ya ndoa.
Labels:
Bi Kizee,
Dominican Republic,
Harusi,
Mzee,
Ndoa,
Ngono,
Tendo la Ndoa,
The Cougar,
Toy Boy
Tuesday, September 22, 2015
Mke Atalakiwa baada ya kuondoa Make-Up Usoni. Kumbe ana sura mbaya!
Labels:
Bwana Harusi,
Harusi,
Mak-up,
Sura mbaya,
Ugly
Saturday, August 22, 2015
Prof. Henry Kadete Thirty Year Wedding Anniversary!
It was 30 years ago tomorrow 8/24/85, that I said "I Do" to Prof. Henry Kadete, (pronounced KAH-DEH-TEH) in Dar es Salaam, Tanzania at St. Alban's Anglican Church. It was the wedding of the year in Dar. Both my grandfathers were in attendance (my grandmothers had both passed). My grandpa flew from USA to attend and always talked about it until his death. Sadly Prof. Kadete, was taken from us ten years later in 1995 leaving me with two beautiful children. May he continue to rest in eternal peace. Amen. Tanzania and the African continent lost a genius of Electrical Engineering. For those who don't know, Prof. Kadete did the groundwork for bringing LUKU (prepaid) Electricity to Tanzania. At the time of his death, he was the Head of the Electrical Engineering Department at the University of Dar es Salaam. Only God, knows why some die so young. Prof. Kadete may be gone, but he is not forgotten.
Sunday, August 09, 2015
Star wa Bongoland 'Mukama Morandi' Afunga Pingu za Maisha!
Stelingi (Star) wa sinema Bongoland, Mukama 'Jimmy' Morandi, amefunga ndoa mjini Minneapolis, Minnesota, jana na mpenzi wake Priscilla. Mukama ni mcheza sinema na mwanamuziki pia.
Tunawatakia maisha mema ya ndoa!
Tunawatakia maisha mema ya ndoa!
![]() |
Director wa sinema Bongoland, Bongolan II na Tusamehe, Josiah Kibira, (katikati) na Mukama na Priscilla. |
![]() |
Mukama na mke wake nje ya Kanisa, Minneapolis |
Mnaweza kupata habari za Kibira Films kwa kuBOFYA HAPA:
Mnaweza kuona kanda ya Mukama, You Tube
TURN BACK TIME
Labels:
Bongoland,
Bwana Harusi,
Harusi,
Josiah Kibira,
Mukama Morandi
Sunday, November 30, 2014
Wafunga Ndoa Uchi
![]() | ||
Haya jamani, kwa nini mnapoteza kununua nguo za harusi wakati mnaweza kusevu pesa kwa kufunga mkiwa uchi? Hao wazungu walisema hela ya nguo watatumia kwa ajili ya kulipa mortgage ya nyumba! Ingekuwa safi kama wageni nao wangekuwa uchi. Kutoka https://www.facebook.com/pages/Ijebu-News-Xtra/121224847988714?fref=photo |
Sunday, September 14, 2014
Kenny, Mtoto wa Mama Bishanga Aoa!
Bwana harusi Kenny na mkewe Florence wakiwa pwani Oster Bay mara baada ya kufunga ndoa |
Florence na Herry waikikata Keki |
Wanaharusi wakikabidhiwa Top Tier ya Keki yao |
Wanaharusi wakigonga Champagne Toast na Wageni wao |
Dada wa bwana harusi Sizelina ambae ni mtoto wa kwanza wa mama Bishanga akilisakata rumba kwa raha na furaha tele ya harusi ya mdogo wake. |
Wayao na Wamakua wakicheza wimbo wao maarufu wa Tilamaundee huku wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wao Mzee Ray Mrope |
Labels:
Dar es Salaam,
Harusi,
Mama Bishanga,
St. Alban's Church,
Zanzibar
Saturday, September 13, 2014
Msanii Lucy Komba Aolewa!
Kutoka BONGO MOVIES:
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku hii, nasema asante Mungu kwa sababu aliifanikisha siku hii kwa nguvu zake wqtu wanaonipenda walisheherekea siku hii vizuri walikunywa na kula na kusaza watu zaidi ya miasita walikuwa ukumbini wakishangilia pamoja nami haleluyaaaaaaaaaaaaaaa anachokiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha hata ieeje.."
Hongera sana lucy.
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku hii, nasema asante Mungu kwa sababu aliifanikisha siku hii kwa nguvu zake wqtu wanaonipenda walisheherekea siku hii vizuri walikunywa na kula na kusaza watu zaidi ya miasita walikuwa ukumbini wakishangilia pamoja nami haleluyaaaaaaaaaaaaaaa anachokiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha hata ieeje.."
Hongera sana lucy.
Tuesday, September 02, 2014
Dr. & Mrs. Aleck Che-Mponda Washerekea Miaka 52 ya Ndoa
Wazazi wangu, Dr. Aleck na Rita Che-Mponda walisherekea miaka 52 ya Ndoa jana mjini Dar es Salaam. Walibarikiwa Kanisani St. Alban na Father Ramadhani na Father Sebo. Wazzai wangu walifunga ndoa Septemba 1, 1962.
Sunday, August 03, 2014
Pastor Myamba Azawadiwa Gari Na Pesa Taslim Shilingi 250M/- Katika Harusi Yake Huko Zanzibar!
![]() |
Pastor Emmanuel Myamba na Mke wake |
Picha na Maelezo Kutoka Swahili World Planet Blog:
Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weekend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar. piacha zaidi zinakujia...........
Thursday, July 03, 2014
CULTURAL WARS TRAILER - Sinema Mpya Iliyotengenezwa na waTZ New York!
The new movie, “Cultural Wars”, is now available on DVDs and there is also an online option to purchase your electronic copy for your Ipad. To get your DVD or electronic copies please visit the following websites:
The trailer for the movie is available to watch for free at:http://www.youtube.com/watch?v=B2rnWOufA38
This is a must-watch family movie that narrates a love story in New York City. It is also a D. J. Mhella production’s first full-length feature. Mhella is an independent filmmaker and he needs your support in making his filming dreams come true. Your support through buying this movie will be appreciated.
For any support and questions please write to: DJMhellaproduction@gmail.com
Labels:
Cultural Wars,
Deogratius Mhella Sinema,
Harusi,
Mapenzi,
New York
Saturday, June 21, 2014
Rais wa Malawi Afunga Pingu za Maisha Leo! Ana miaka 74
![]() |
Photos from the Wedding of President Peter Mutharika June 21, 2014 |
Photos courtesy of Charles Banda
Rais wa Malawi, Peter Mutaharika, (74) amemwoa mchumba wake Bi Gertrude Maseko leo mjini Blantyre. Hongera Bwana na Bibi Mutharika
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
****************************************
Kutoka: Voice of America
The couple and some of their “well-wishers” are expected to fund the wedding, after Mutharika ordered government officials to ensure that no state funds are used to organize the nuptial ceremony.
Mukhito said foreign dignitaries, members of the diplomatic corps, friends of the couple and residents of the region Mutharika hails from have been invited to be guests at the wedding this weekend.
“The wedding would be officiated here in Blantyre and after a reception will follow at Ndata Farm,” said Mukhito. “The bill is being footed by the president himself and some well-wishers. In fact, His Excellency has directed that no government money should be used on this wedding…we have religiously followed the directive from the president that no government money should be used for the wedding.”
Mutharika, 74, is a widower with two daughters and a son. He was however accused of being gay during the run up to last month’s general election.
Labels:
Harusi,
Malawi,
President Peter Mutharika,
Wedding
Saturday, November 02, 2013
Fesheni Mpya ya Picha za WanaHarusi Bongo
Wadau, naomba maoni yenu kuhusu hii picha. Mimi nasema Tarzan angefurahi sana kuona wanaharisu kwenye miti! Bibi harusi alipandaje na hiyo gauni na heels?
Labels:
Arusi,
Bibi Arusi,
Bride & Groom,
Bwana Harusi,
Harusi,
Wa,
Wedding,
Wedding Gown
Tuesday, September 17, 2013
Mfalme Mswati Kuoa Mke wa 14!
Huyo Binti akishika mimba ndo ruksa Mfalme kuoa. Duh! Mila zingine.
Mchumba ana miaka 18.
********************************************************
MBABANE - Swaziland’s King Mswati III has chosen an 18-year-old beauty pageant contestant as his 14th wife, a palace spokesman said Tuesday, days before a much-criticised parliamentary vote. ”I can confirm that the king has introduced to the nation a new liphovela (royal fiancee),” said Ludzidzini palace governor Timothy Mtetwa. Mswati, a 45-year-old who is sub-Saharan Africa’s last absolute monarch, introduced Sindiswa Dlamini at a Reed Dance celebration over the weekend, Mtetwa told AFP. She wore reed feathers on her head — a sign of royalty.
The young woman graduated from Mbabane’s St. Francis High School last year and is a finalist in the Miss Cultural Heritage beauty pageant. The winner will be announced on September 28. The king has come under fire for his household’s lavish lifestyle while the tiny mountain kingdom’s 1.2 million people struggle to make a living. – AFP.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
********************************************************
MBABANE - Swaziland’s King Mswati III has chosen an 18-year-old beauty pageant contestant as his 14th wife, a palace spokesman said Tuesday, days before a much-criticised parliamentary vote. ”I can confirm that the king has introduced to the nation a new liphovela (royal fiancee),” said Ludzidzini palace governor Timothy Mtetwa. Mswati, a 45-year-old who is sub-Saharan Africa’s last absolute monarch, introduced Sindiswa Dlamini at a Reed Dance celebration over the weekend, Mtetwa told AFP. She wore reed feathers on her head — a sign of royalty.
The young woman graduated from Mbabane’s St. Francis High School last year and is a finalist in the Miss Cultural Heritage beauty pageant. The winner will be announced on September 28. The king has come under fire for his household’s lavish lifestyle while the tiny mountain kingdom’s 1.2 million people struggle to make a living. – AFP.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
![]() |
King Mswati III |
Labels:
Bibi Arusi,
Harusi,
King Mswati III,
Mfalme,
Swaziland
Thursday, July 25, 2013
Vazi la Nusu Uchi Lazuia Ndoa Kufungwa Kanisani St. Peter Dar!
Binafsi sioni shida ya kuvaa nguo ya harusi ya mabega wazi, ndo fesheni sehemu nyingi. Mbona, tunavaa khanga na vitenge na tunakuwa mabega wazi? Lakini kama umeambiwa mapema kuwa nguo hiyo haifai kanisani basi msikilize Padri au tafuta Kanisa lingine!
***************************************
KUTOKA GAZETI LA HABARI LEO
***************************************
KUTOKA GAZETI LA HABARI LEO
VAZI LA NUSU UCHI LAZUIA NDOA KUFUNGWA JIJINI DAR....PADRI AGEUKA MBOGO NA KUWATIMUA WAPAMBE
KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke akavae vizuri.
*“Ninatoa dakika 10 kwa aliyeingia na mavazi ambayo hayatakiwi kanisani humu kutoka mara moja akavae vizuri, la sivyo ndoa yao haitafungwa,”* alisema Padri Haule wa Kanisa hilo lililoko Oysterbay, Dar es Salaam.
Awali vurugu hizo zilizotokea Jumamosi iliyopita, zilianzia nje, wakati Katekista wa Parokia hiyo, Yohane Maboko, alipotangazia wanandoa na ndugu zao waliokuwa mabega wazi au kuvaa nguo fupi, kutafuta nguo za kujifunika au wasiingie kabisa kanisani.
Maharusi walikubali kutekeleza ombi hilo, wakavishwa vitambaa mabegani vya rangi tofauti na gauni jeupe la harusi, wakaruhusiwa kuingia kanisani, tayari kufunga pingu zao za maisha.
![]() |
Aliyegoma kutoka na nguo yake ya nusu uchi |
Hata hivyo, mmoja wa ndugu wa maharusi hao ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipotaka kulazimisha kuingia na kivazi chake cha mabega wazi, alizuiwa na Katekista Maboko. Katekista huyo alimfuata mwanamke huyo ili kumrudisha akavae vizuri, lakini aliibua zogo na kulazimisha kuingia na
vazi hilo.
Zogo hilo lilipoendelea, wanandugu waliingilia kati, wakitetea vazi hilo ambapo mmoja wa wanandugu, alimvua miwani Katekista Maboko na kuipiga chini ikavunjika huku yeye na wenzake wakimtolea maneno makali ya kumtaka asimzuie ndugu yao kuingia kanisani.
Wakati ndugu hao wakimdhibiti Katekista Maboko, mwanamke huyo alitumia mwanya huo na kupenya hadi ndani ya Kanisa, ambamo Padri Haule, alikuwa akijiandaa kuanza ibada.
*Baada ya Padri Haule kupata taarifa, alitangaza kuwa ndoa ya maharusi wa msichana huyo, haitafungwa hadi awe ametoka. *
Licha ya Paroko kutangaza hivyo, bado ukaidi uliendelea jambo lililomfanya Katekista Maboko kumfuata tena dada huyo na kumwamuru atoke nje, ambapo aliendelea kupinga na baadaye akatekeleza amri hiyo ya Paroko.
Baada ya hapo shughuli za kufungisha ndoa ziliendelea kwa amani na utulivu hadi mwisho maharusi wakatoka kwenda kuendelea na mambo mengine.
Akizungumza na mwandishi wetu, Katekista Maboko alisema waumini hao walikiuka maadili ambayo Kanisa lina wajibu wa kulinda na kuyasimamia ili waumini wake wayafuate.
Alisema miwani yake iliyovunjwa ilikuwa na thamani ya Sh 90,000 na baada ya ibada hiyo, aliyetenda kosa hilo alimwendea na kumwomba radhi na kulipa Sh 50,000 na kuahidi kumalizia kiasi kilichobaki wakati wowote.
Maboko alisema uvaaji wa mavazi yasiyotakiwa kanisani hapo, umekuwa ukipigiwa kelele mara kwa mara, na hata katika mafundisho ya ndoa huambiwa lakini ukaidi unaendelea.
*“Maharusi wakati wa mafundisho ya ndoa tunawaambia kuhusu mavazi yao na hata ya ndugu zao watakaowasindikiza kanisani, kuwa wavae kistaarabu lakini hawasikii,”* alisema Katekista Maboko.
Makanisa mengi siku hizi yamekuwa yakipiga marufuku uvaaji wa nguo fupi na zinazoacha mabega wazi kwa wasichana na wanawake, wakati wa ibada za kawaida na za ndoa.
Habari Leo
![]() |
Hii fesheni inapendwa na vijana wengi |
Labels:
Arusi,
Bridesmaid,
Dar es Salaam,
Harusi,
Kanisa,
Nguo,
St. Peter Church,
Wedding Gown
Thursday, July 04, 2013
Kerry Washington Aolewa na MNigeria
Kutoka: NAIJA.com
Not exactly a Scandal, but this is certainly a surprise!
Kerry Washington married San Francisco 49ers cornerback Nnamdi Asomugha on June 24 in Blaine County, Idaho, E! News exclusively confirms.
Because, you know, they were such a high-profile couple…?
Well, according to sports gossip site TerezOwens.com , which was first to get wind of the happy news, Asomugha has been dating Vanity Fair‘s August 2013 cover girl since last summer.
The 31-year-old three-time Pro
Bowl star played with the Oakland Raiders, who drafted him following his
graduation from UC Berkeley in 2003, for eight seasons and the
Philadelphia Eagles for two before signing with the 49ers in April. The
bookish athlete is no stranger to showbiz, either, having scored acting
gigs on The Game, Friday Night Lights and Leverage in recent years.
Like his bride, Asomugha is also a dedicated activist and
philanthropist and he has participated in the Clinton Global Initiative
every year since 2009.This is the first marriage for Washington, 36, who went from generally lovely actress to mega-star over the past year thanks to her breakout roles playing not-to-be-messed-with political fixer Olivia Pope on ABC’s Scandal and Jamie Foxx‘s enslaved wife Broomhilda von Shaft in Django Unchained.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
http://www.ibtimes.com/kerry-washington-married-10-facts-know-about-her-new-husband-nnamdi-asomugha-1334197
http://networkedblogs.com/MNXwM
Labels:
Harusi,
Kerry Washington,
Nnamdi Asomugha,
Wedding
Saturday, June 22, 2013
Romeo na Juliet wa Congo Wajinyonga!
Wadau, mnajua ile hadithi ya Romeo na Juliet? Vijana wawili walioishi Uingereza mwaka 1597 waliopendana sana lakini wazazi wao walikataa wasifunge ndoa kwa vile mwanaume alitokea ukoo maskini. Romeo na Juliet walijiua kwa kunywa sumu. Sasa, huko Congo hao wapenzi wamejinyonga pamoja baada ya wazazi wao kukataa wasifunge ndoa! Rest in peace.
*********************************
KUTOKA MASAI NYOTA MBOFU BLOG
http://www.masainyotambofu.blogspot.ca/
NAOMBENI RADHI KWA PICHA HII: TUKIO LA KUHUZUNISHA! MVULANA NA MSICHANA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE!!! SOMA HAPA

Mkasa huu
umetokea huko Congo.
Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la
kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa
mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.
Baada ya jitihada zao
za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya
kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto
Labels:
Congo,
Hanging,
Harusi,
Kifo. Msiba,
Mapenzi,
Romeo & Juliet
Tuesday, May 21, 2013
Kwa Nini Bibi Harusi Hulia Siku ya Harusi?
Swali uliulizwa:
Hawa najiuliza, kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?
1. Jee! Ni uchungu au furaha kwa kupata mume?
2. Ni uchungu au kufaraha ya kuondoka mazingira ya nyumbani kwao?
3. Ni furaha ya kwenda kuanza kumiliki kitanda na mumewe mfululizo na
kwa muda anao upenda (lile tendo)?
3. Au wanaogopa fedheha kwa kuwa wanaolewa /anaolewa akiwa si bikra?
4. Ni uoga wa kuanza kulala bila nguo ya ndani akiwa kwenye ndoa na mumewe?
Kwa nini mabibi harusi wengi huangua vilio?!
Dada Leila Sheikh kajibu hivi:
Kwetu sisi uswahilini usipolia wafinywa na kungwi.
Seriously huwa tunalia kwa sababu tunaondoka kwa wazazi wetu na kwenda kujiunga na koo jingine.
huwa
tunafundwa- "Mama Mkwe ndiyo Mama Yako sasa. Ba Mkwe ndiyo Baba Yako
kuanzia leo. Hawa usiwachukulie kama mawifi au mashemeji bali ndiyo
ndugu zako kuanzia leo. Mume akiwa kachacha, gongesha vikombe majirani
wafikiri munakunywa chai kwa bajia. Chakula kikikosekana, hakikisha
unachoma iliki ili majirani waamini unapika pilau. Mume akichelewa
kurudi, mlaki mlangoni kwa tabasamu. Akikukaripia, mwimbie wimbo wa
mapenzi "Sabalkheir (ishakuwa asubuhi anaporudi) Mpenzi, waonaje hali
yako?".
Na kwa nini nisilie baada ya kuambiwa hivyo?Unaondoka kwenu ulipodeka wenda ugenini.
Leila Sheikh
Labels:
Bibi Arusi,
Crying,
Harusi,
Leila Sheikh,
Wedding
Subscribe to:
Posts (Atom)