Tuesday, September 02, 2014

Dr. & Mrs. Aleck Che-Mponda Washerekea Miaka 52 ya Ndoa

Wazazi wangu, Dr. Aleck na Rita Che-Mponda walisherekea miaka 52 ya Ndoa jana mjini Dar es Salaam. Walibarikiwa Kanisani St. Alban  na Father Ramadhani na Father Sebo. Wazzai wangu walifunga ndoa Septemba 1, 1962.

2 comments:

Anonymous said...

hongera kwa wazee na Mungu atawabariki zaidi,nimeambiwa Dr Aleck alisimamia harusi ya wazee wangu

Anonymous said...

hongera kwa wazee na Mungu atawabariki zaidi,nimeambiwa Dr Aleck alisimamia harusi ya wazee wangu