Wednesday, September 03, 2014

Rais Obama Anayobaguliwa na Republicans!

Ni kweli kabisa! Rais George W. Bush alichukua zaidi ya siku 367 likizo!  Hakuna Republican aliyelalamika!  Kwa vile Rais Obama ni mweusi wanadhani hastahili kupata likizo! Wadau, Marekeni unatakiwa ufanye kazi mara nne ya mzungu ili unonekane kuwa unafanya kazi!  Mimi mwenyewe na pambana na bosi kupata likizo nayo stahili, lakini mzungu akiomba anapata bila taabu!

No comments: