Sunday, November 02, 2014

Jaji Warioba Anusurika Kupigwa Kwenye Mkutano!

Nchini Tanzania vurugu zimekatisha mdahalo ulioitishwa kujadili yatokanayo na rasimu ya katiba iliyopendekezwa. Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba, alikuwa jukwaani wakati vurugu zilipozuka. Wanaounga mkono rasimu wamedaiwa kusababisha vurugu ukumbini.Wapo watu waliojeruhiwa. Nini maoni yako na umelipokea vipi tukio hilo? Habari zaidi katika Amka na BBC.

11 comments:

Anonymous said...

Mtu aliewahi kua Waziri mkuu, mwanasheria mkuu, makamu wa kwanza wa rais wa Tanzania anadhalilishwa na mru mwenye kadigrii kamoja tena cha St. Agustin...!!
Ni lini CCM imekua ikilea watu hawa? Mzee Mangula wewe ni mtu makini sana, tunakuomba adhabu ichukua mkondo wake. Ikiwa anayosema mzee Warioba huyapendi usimsikilize kwani kuna lazima gani?

Anonymous said...

MASIKINI PAUL MAKONDA KIJANA UMESHAPOTEA UMEITIA AIBU CCM DU!! HIVI UNAIFAHAMU CCM KULIKO WARIOBA WEWE? SIJUI !!

Anonymous said...

Sioni haja kwa Warioba kujihusisha na masuala yenye hamasa kisiasa tukizingatia wasifu wake kiserikani na zaidi ki Mahakama. Kiutaratibu alipaswa kuacha kujihusisha na masuala ya katiba siku, kamati husika ilipokabidhi suala la katiba kwa Bunge maalum.
Kitendo cha warioba kuendelea kushupalia msimamo wake juu ya suala hilo hata baada ya mamlaka yake kufikia ukomo, kimepelekea vyombo/mamlaka nyingine zisifanye kazi zake ipasavyo. Tulitegemea vyama vya siasa vichuane kuonesha umahiri kwa kujinadi ili kufikia malengo yao kisiasa.
Kama majaji wengine, Warioba pia anapaswa kuzingatia kikamilifu maadili ya wadhifa huo na hapaswi kujiunga na chama chochote cha siasa kwa wazi ama kwa siri.

Anonymous said...

Kwahiyo ndo ccm imatuma wahuni mkampige huyo mzee poa lakini ujumbe wake umeshawafikia watanzania muuweni kama mlivyo muua mvungi,korimba,kigoma malima, sokoine,na wengine ili utawala wenu wa mabavu udumu

L. L. said...

WARIOBA MPUUZI HANA HAKIKA NA MIPAKA YAKE YA KAZI. KWANZA NINGEKUWA MM WARIOBA KWANZA NINGERUDISHA KADI YA CCM KISHA NIYAFANYE YANGU. PILI KAMATI KUU CCM WAPUUZI FUKUZA HUYU WARIOBA KWENYE CHAMA

Anonymous said...

Mzee wa watu anaongea ukweli mnamkataza, hamna nia njema nasi nyie walaf wa madaraka kabisaaa, yan kusoma hatujui hata picha hatuon, inauma sana jaman, me c mpenzi wa siasa bt mmmmmh, they are lunatics!!

Anonymous said...

Mzee wa watu anaongea ukweli mnamkataza, hamna nia njema nasi nyie walaf wa madaraka kabisaaa, yan kusoma hatujui hata picha hatuon, inauma sana jaman, me c mpenzi wa siasa bt mmmmmh, they are lunatics!!

Anonymous said...

Ni post isio na mashiko wakati anapewa kazi mlishangilia kazi inapovurugwa mnamuona mbaya he? Mnaakili kweli? Mzee ameona mbali mno na ndio maana anaipinga. Vilaza wanamuona hafai. Baadhi ya watanzania ni 0% kila tunacho ambiwa sisi kwetu ni ndio. Ukiwa mkweli hufai mpaka lini hali hii. Amkeni igeni mifano ya nchi nyingine. Walifanya lamaana mno kutunyima ufahamu tushazoea kila kitu kwahisani ya watu wa marekani sasa hivi nikwahisani ya mzee warioba.

Anonymous said...

Warioba ndio baba mdogo wa Taifa mungu mbariki baba yetu mdogo wa Taifa alie lenga kutukomboa lakini shetani ccm bado kaweka uzia!

Anonymous said...

Warioba ndio baba mdogo wa Taifa mungu mbariki baba yetu mdogo wa Taifa alie lenga kutukomboa lakini shetani ccm bado kaweka uzia!

Abeid Musa said...

Kwanza kabisa Sina aibu kumsifia makonda kwa ujasiri huu uliouonyesha Huyu babu anataka kuingiza nchi hii kwenye machafuko kazi yake ilikwisha mdomo wa nini leo nimeamini Huyu Mzee ana matatizo na ametumwa na wazungu kutuharibia nchi makonda narudia kusema wewe ni shujaaa na mungu akupe maisha marefu chukua fomu tuwaondoe chadema mwanza.sisi kama vijana tunakushukuru kwa kutupigania nchi yetu iwe na amani.VIVA MAKONDA waliokereka mezeni wembe mfie mbali!!!!!!!