Saturday, November 22, 2014

Tanzania Imeibiwa Tanzanite

Kutoka THE CITIZEN

Jamani, serikali iko wapi? Tunaibiwa madini, wengine wanafaidi. Hiyo hela ingesaidia kukarabati hospitali, shule etc.1 comment:

Anonymous said...

Serikali yetu si ndio wale wale. kama kina Mobutu, na wengineo, yaani hii Serikali hopeless kweli, inaipeleka nchi pabaya na wakati mgumu, kwa ujinga wa watu wachache, wakipewa tuhela kidogo basi wenyewe wameridhika,na madini yanaendelea kuisha bila faida yoyote kwa Taifa, na wananchi wake, shule tabu, madawa hospital hamna, yaani hii Tanzania inanuka. kwa kila sekta, haifai, katika nchi zote za ukanda huu wa Est Africa