Saturday, November 15, 2014

Mchawi Atubu, Aomba Msamaha! (Samahani Yuko Uchi)

Huyo mchawi alikamatwa aliloga. Wachawi wakitambika wanakuaga uchi, ndo mana huyo mchawi yuko uchi!  Akome kabisa kuloga watu! Naona aliogopa kipigo cha kufa huyo! Mwone na shanga zake! Wangemtoa kabisa!
5 comments:

Anonymous said...

Alistahili kupigwa kuipgo ambacho asingesahau maishani mwake! Akome kabisa!

Anonymous said...

Mbona shanga nyingi?

Jack said...

Ametunyima uhondo ameficha matiti!

Anonymous said...

Kabila gani huyo! siyo Mgogo huyo?

Anonymous said...

Watu wanacha kukoment mambo ya maana juu ya nchi hii ya Tanzania, wapo bize huku juu ya huyu mwanamama, ambaye yuko kwenye ulimwenhu anaoujua mwenyewe, na dhiki tu hii, na umasikini, ndio unamfanya atokke huko. wengine uhondo, huo uondo wa kukaa uchi? si ujinga tu, hebu tuelekeze mambo kwenye hili Taifa, linatia aibu, kila nyanja