Sunday, November 30, 2014

Wafunga Ndoa Uchi

Haya jamani, kwa nini mnapoteza kununua nguo za harusi wakati mnaweza kusevu pesa kwa kufunga mkiwa uchi?  Hao wazungu walisema hela ya nguo watatumia kwa ajili ya kulipa mortgage ya nyumba! Ingekuwa safi kama wageni nao wangekuwa uchi.  Kutoka https://www.facebook.com/pages/Ijebu-News-Xtra/121224847988714?fref=photo


2 comments:

emu-three said...

Hii kali....na mfungaji harudi naye alikuwaje,....maana duuh, ukistaajabu ya huyu atayaona ya yule

Anonymous said...

Damn attention-seekers! Deluded idiots! They should have foregone the lavish party to save money for their mortgage.