Pan African designer, Mustafa Hassanali pursues fashion as a religion. Being
Tanzania’s premier and most celebrated wedding and evening gown designer.
With an A-list clientele, Hassanali
is considered a fashionista personified.
Mustafa Hassanali, who having showcased in 26 Cities in 17 Countries Globally has also been named One of Africa’s Top Male Fashion designer by UK’s NEW AFRICAN WOMAN, Kenya Airways In-flight Magazine December 2012 issue mentioned him as one of the 6 person to look out for in 2013. In 2011 he was also selected by the minister of youth information, Culture and Sports as a steering committee member for the selection of Tanzania National attire. Mustafa Hassanali showcased his AFROTURE Collection at AFI Mercedes Benz Fashion Week - Africa 2013, which was his TENTH showcase in SOUTH AFRICA Mustafa Hassanali shall launch AFROTURE collection on 8 November at Serena Victoria hotel in Uganda for the Mavuno Yetu Event. That will be His FIFTH Showcase in UGANDA and will showcase alongside his host designer Santa Anzo of Arapapa |
Showing posts with label Fashion. Show all posts

Friday, November 08, 2013
"Afroture" Collection By Mustafa Hassanali
Labels:
Afroture,
Fashion,
Fesheni,
Mustafa Hassanali
Friday, April 12, 2013
Saturday, November 26, 2011
Monday, October 05, 2009
Friday, January 30, 2009
Monday, September 22, 2008
Mwanamitindo Bora 2008
WALIMBWENDE 13 wamefuzu kutinga kwenye fainali za kinyang’anyiro cha michuano ya kumsaka mwanamitindo bora wa Afrika Mashariki kitakachofanyika Novemba 29 jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa waratibu wa kinyang’anyiro hicho Judy Felician alisema leo kuwa walimbwende hao 13 wataingia kambi mwezi ujao pamoja na washindi wengine kutoka nchini za Kenya Uganda, Rwanda na Burundi kupata washindi wanne ambao watakwenda kushiriki kwenye shindano jingine la uanamitindo nchini Ugiriki.
Judy alisema nchi za Kenya Uganda, Rwanda na Burundi zitatoa walimbwende watatu kila moja ambao wataungana kambini na walimbwende 13 wa hapa nchini katika kambi ambayo itaanza Oktoba 25 jijini Dar es Salaam.
Walimbwende 13 waliofuzu kutinga fainali ni Rihama Mohamed, Gloria Emson, Namrata Mandania, Nshoma Mkwabi, Sarah Kazaura, Cynthia Kimasha na Beatrice Wilbard.
Wengine ni Nelly Kamwelu, Doris Godfrey, Evanuru Isaack, Joyce Mbago na Irene Shirima . baadhi ya vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki hao ni binti kuwa na umri kati ya miaka 18 hadi 22 na urefu wa sentimita 170-175, kifua cha upana wa sentimita 60.
Kwa mujibu wa Judy walimbwende hao 13 waliofuzu kutinga hatua ya fainali zitakazofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubileee jijini Dar es Salaam walipatikana katika michakato miwili tofauti iliyofanyika Agosti 30 na Septemba 20 na kuhusisha walimbwende kutoka shemu mbalimbali za Tanzania .
Aidha mratibu huyo alisema katika fainali hizo walimbwende wanne watakaoshika nafasi nne za juu watapelekwa nchini Ugiriki na kampuni ya G-Cat ya Uingereza kushiriki katika kinyang’anyiro kingine ambacho kitawakutanisha na wanamitindo wengine kutoka ulaya.
Judy alisema wakiwa Ugiriki wanamitindo hao watachuana kuwania kupata mkataba wa mwaka mmoja kuonyesha mavazi kwa mwaka mzima huko ulaya.
Akizungumzia mustakabali wa walimbwende ambao watashindwa kufuzu kwenda Judy alisema walimbwende hao watakuwa wakitumika katika shughuli mbalimbali za matangazo na masuala mbalimbali ya mitindo hapa nchini.
Shindano hilo linalenga kuwawezesha wanawake na kauli mbiu yake inasema ‘Wasichana wajihadhari na ujauzito katika umri mdogo, umalaya na utumiaji wa dawa za kulevya na Ukimwi’.
Monday, March 31, 2008
Bongo na Face of Tanzania

Yafuatayo ni maoni ya mdau.
Imeandikwa na Dada Tanzania
Bongo na Face of Tanzania “mimi kisura najitambua”
Je kisura atakayeshinda Tanzania atakubaliwa South Africa au……?
Mambo vipi wadau wenzangu,na Chemi Che Mponda pole na kazi na hongera kwa kupata shavu la kuwa kwenye filamu ya ukweli.Huo ni mwanzo na unajitengenezea profile nzuri ambayo itakusaidia hapo baadae.
Haya wapedwa,wale mlio Tanzania nafikiri wengi wenu mmepata nafasi ya kuangalia mchakato mzima wa kinyang’anyilo cha kumtafuta kisura wa Tanzania unaoendelea hapa home,Mshindi atapata mkataba huko kwa mzee Mandiba South Africa.(mkataba na moja ya kampuni ya mitindo SA)
Kwanza kabla ya kuelezea zaidi napenda kuwapongeza au kumpongeza muandaaji Irene Kiwia kwa ubunifu na kujiamini kwa hali ya juu kufanya kitu kama hicho.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa hayo mashindano katika luninga yetu ya Taifa,toka walipoanza mikoani na hadi hapa Dar es salaam. Kwa kweli walifanya kazi ngumu sana na kwa sasa hawa washiriki wamepatikana na wako kambi na mchujo unaendelea kila wiki.
Swali ni je huyu mshiriki atakubaliwa huko SA, embu waangalieni hao washiriki pita 8020fashions.blogspot.com kwa picha zaidi.Mimi nimewatazama hawa washiriki kwa mtazamo wangu hakuna hata mmoja mwenye kiwango cha uanamitindo.wengi wao ni warefu na ni wazuri sana tu.Tatizo kimtazamo wa kimtindi wanatuchanganya.
Hapa najaribu kusema kuwa,waandaaji hawajajiandaa vya kutosha,kifedha kuweza kuendesha show nzima.kama kimatangazo,kimavazi nk
Kama kule mikoani,waandaji walitangaza mabinti waende kwenye audition, lakini washiriki hawajajitokeza kabisa kama wamejitokeza ni wawili au watatu tu.kusema la ukweli hadi mi nilikuwa nawaonea huruma.kama kule Mwanza. Mwanza ni jiji kubwa tu,cha kushangaza walikosa kabisa washiriki,hadi waliamua kwenda kwenye nyumba za starehe na mitaani kutafuta.washiriki,hii inaonyesha ni jinsi gani hawakutangaza vya kutosha,na kueleza faida ya uanamitindo ni nini,ivyo ilisababisha kutokuwa na msisimko.
Tuache hapo,hao washiriki wengi wao wamelazimishwa,kama akikutwa mrembo barabarani mrefu tu kafikia 174m basi wanamlazimisha akashiriki hata kama hapendi na hata kama anaonekana mrefu tu lakini hana haiba za kiuana mtindo.
Kwangu mimi, Irene na timu yako kama unataka kufanya kitu lazima ukipende na ukifahamu.na ukikipenda utakifanyia kazi na hautataka kukiacha,hao warembo wako wote hakuna hata mmoja anayependa kupiga picha(yaani wanapooza ile mbaya na waoga kwenye picha).iyo pia inafanya uzuri wao ufichike.
Au basi wanafaa nyie hamna vifaa,maana Irene nilikuona kwenye TV wewe ndo unacamera yako ya digital ndogo inamuonekano ya kupiga picha za nyumbani tu. unawapiga picha wewe mwenyewe.kwa iyo hawapigwi picha kiufundi.(professional) ndio maana hawatokei kimtindo.
Embu tuchukulie mfano wa wenzetu kama “America next top model”,wanawashirikisha wanamitindo waliopata mafanikio,kama Tyra mwenyewe,mtu aliyebobea kwenye kupiga picha za uanamitindo,waandishi wa majarida muhimu ya mitindo nk.
Sasa ukiangalia nyie yenu hata hakuna mtu mmoja anayejua mambo ya mitindo na ambaye amewahi kufanya shughuli za mitindo mnayemshirisha.kwenye ushauri na kuwaweka sawa hao wabinti wapate muonekano wa kiuanamitindo.
Ni siku moja tu juma lililopita,mlipotembelea TBL ,kulikuwa na kaka mpiga picha yeye angalau ongea yake kuusiana na picha alizowapiga kwa siku iyo,alionyesha na ufahamu na upigaji picha.je kwa nini msimtumie uyo kuwapiga picha models wenu?.Je pia hamuoni kama mkiwapatia elimu ya kutosha kuhusiana na mitindo pia mtawanufaisha hata watakapoenguliwa wakajiendeleza wenyewe kwa namna moja au nyingine?.
Embu hayo yabaki kama maswali tu,Lakini picha za mitindo mara nyingi zinaongea,yaani unaijaji picha na kuhisi mwanamitindo anataka kusema nini au kufanya nini.lakini karibia picha zote mlizozitoa kwenye vyombo vya habari hazisemi hata kidogo(zimenuna).na toka hao washiriki waingie kambini hawajabadilika kimitindo, wako vile vile.badiliko nililoliona ni yule mmasai kuacha nguo zake za asili na kukimbilia jeans.(na ni kawaida tu,sio kimsingi)
Tukianza na wewe Irene mwenyewe na Nancy Sumari,wote nyie hamkuwahi kufanya shughuli za mitindo bali mliwahi kuwa warembo tu.hali urembo na uanamitindo ni vitu viwili tofauti kabisa.naona jinsi mnavyowafundisha kupose kwenye picha ,sio kabisa ni kikawaida mno.kwenye kutembea je,Nancy siku aliwahi kukiri kwenye kipindi chake alikuwa akimuhoji Richa (Miss TZ),kuwa Richa anatembea vizuri kuliko yeye Nancy. Pia nimewahi kumuona Nancy kwenye fashion shows za hapa home ya Mustafah Hassanali hatembei vzuri kabisa,wanampa tu chance kama mgeni na mtu mashuhuri wa TZ kwa heshima naye aoenyeshe mavazi.
Inakuwaje hawa waandaaji wasiweze kualika wanamitindo mbalimbali kama Happiness Magesa,Hawa n.k wawasaidie kuwashauri washiriki kama kupose kwenye picha,kutembea,kuvaa kutokana na mazingira na halikadhalika kuweka make up(kujiremba)n.k
Inasikitika sana kuona washiriki wote wanapiga picha na nywele kama vile wanaenda sokoni(sorry sio naponda).,wengine wamevaa nguo za ofisini kwa kifupi saa ingine haieleweki kabisa.
Mi naona msipowafundisha hao mabinti kupose kwenye kamera,kutembea,kuwa wasafi,wanaweza hata wasikubaliwe huko SA.Lakini hao visura ni wazuri na wakifundishwa watawakilisha vizuri.
Huo ni mtazamo wangu tuu,cha muhimu waandaaji mmeamua kufanya kitu basi jitoleeni kabisa,sio kubip (msemo wa mtaani),zaidi ya yote hii ni changamoto na watu wengi wameona haya,na mimi nimeamua kuwakilisha mtazamo wangu na jamii.
Asante ni mimi Dada TZ

Subscribe to:
Posts (Atom)