Friday, April 12, 2013

Ukweli Kuhusu Mtindo Gawa Kundu


Na Vijana wa kike siku hizi hawajisheshimu kabisa!

8 comments:

Anonymous said...

Chemi wewe umewahi kufanya kazi Daily News kwa hiyo unapoandika tunategemea kuwe na taaluma ya uandishi kwenye maandiko yako. Utafiti na ukweli wa mambo ni kati ya yanayotegemewa. Hakuna sababu ya kuandika uongo ili uweze kukemea tabia mbaya.

1. Ni kweli fasheni hiyo imeanzia jela lakini si kweli kwamba imeanza kwa ajili ya kutoa ishara za ngono.

2. Wafungwa walikuwa/hawaruhusiwi kumiliki mikanda ya kiuno kwa sababu mkanda unaweza kuwa silaha na pia unaweza kutumia kujiua (suicide). Hicho ndiyo chanzo cha fasheni hiyo ya kata K.

Anonymous said...

Inakera lakini inavumilika pale ma-teenager wanapovalia suruali chini ya matako lakini inaudhi sana, tena sana, pale unapomuona mtu mzima wa miaka 35 au zaidi amevaa hivyo.

Anonymous said...

Sawa vaeni sagging pants lakini hakikisheni hizo chupi mnazoonyesha ni safi. Wengine utaona suruali iko chini ya matako lakini chupi au nguo aliyovaa chini ina ukoko.

Anonymous said...

Vijana Bongo wanaoiga hawajui kuwa wanatangaza usenge.

Chemi Che-Mponda said...

Asante anony wa 12:56am. Mimi sijandika kitu hapo. Hiyp ni picha tu. Niliwahi kuandika historia ya Gawa Kundu na inayotoka na Utumwa na maisha ya gerezani. Na ni kweli, hiyo fesheni sipendi. Hata juzi nilimfokes kijana ambaye alikuwa mbele yangu akipanda ngazi na Gawa Kundu yake, suruali ilianguka, chupi yote nje!

Anonymous said...

Hiyo picha ya huyo dada aliyechuchumaa inatia hamasa.

Anonymous said...

Unapovaa hivi unaonyesha matako na kuonyesha matako ni kujitangaza kwamba wewe ni msenge. Ni hilo tu. Samahani kama nitakuwa nimemkwaza yeyote.

Anonymous said...

Kweli Anony April 24, 2013 3:09 AM. Yummy!