Friday, November 21, 2008
Walimu Wachachamaa Tena!
Wednesday, November 19, 2008
Mike Sikawa wa BBC Afariki Dunia

(Mike Sikawa 1982 Dar es Salaam, Tanzania - Mike alinitumia hizi picha nikiwa denti Form Five, Tabora Girls. Mbona nilitamba nazo, kwanza zilikuwa za rangi, halafu pili alikuwa mwandishi wa habari maarufu sana hivyo kujuana naye ilikuwa fahari kweli. Miaka yote hii nimekaa nazo.)*******************************************************************
Nimepokea habari za kusikitisha sana leo. Mwandishi wa Habari wa BBC, Mike Sikawa, amefariki dunia. Aliwahi kufanya kazi Daily News. Alikuwa na kipaji mkubwa wa kuandika habari mpaka Daily News walimpa 'special privileges'.
Nilikutana naye kwa mara ya kwanza nikiwa nasoma 'A' levels Tabora Girls. Nilikuwa likizo Dar na tuliktana kwenye party Chuo Kikuu cha DSM. Wakati huo Mike Sikawa alikuwa maarufu sana. Nilimwambia kuwa nataka kuwa mwandishi wa habari na yeye alisema kuwa huo kazi haufai mwanamke. Nikamwambia kuwa hata hivyo bado nataka kuwa mwandishi wa habari. Nilianza kazi Daily News Agosti 1984, na baada ya muda mfupi yeye alitoka na kwenda Uingereza. Nilikutana naye tena miaka ya 90 na Mike aliniambia kuwa alijua nitakuwa na mafanikio makubwa katika uandishi wa habari.
Nakumbuka huo ugonjwa wa kisukari ulianza kumsumbua wakati huo na ndo ulimaliza.
Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.
****************************************************
Kutoka Lukwangule Blog:
Mike Sikawa wa BBC afariki dunia
MTANGAZAJI wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Mike Sikawa (55) ,amefariki dunia jana mchana baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kisukari.
Sikawa, ambaye pia aliwahi kufanya kazi katika Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) inayomiliki magazeti ya Daily News na HabariLeo, alifariki dunia juzi majira ya saa 8.47 mchana nyumbani kwake Njiro, nje kidogo ya mji wa Arusha.
Kwa mujibu wa mdogo wake marehemu, Mchungaji Charles Sikawa, ndugu yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu na kutokewa na kidonda mguuni.
Mchungaji huyo alisema ndugu yake alipata matibabu katika hospitali mbalimbali hapa nchini ikiwamo AICC, KCMC, St. Thomas na Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili iliyoko Dar es Salaam lakini hakupata nafuu yoyote.
Alisema ilifika wakati nusura akatwe mguu uliokuwa na kidonda lakini madaktari walifanikiwa kukwangua nyama ya mguu wa kidonda lakini haikuweza kusaidia.
Mchungaji huyo aliendelea kusema kuwa baada ya kuhangaika kwa muda mrefu katika hospitali mbalimbali hapa nchini na kushindwa kupata nafuu, Sikawa alikuwa akipata matibabu akiwa nyumbani kwake hadi alipofikwa na mauti.
Alizaliwa King’ori wilayani Arumeru mkoani Arusha na kusoma elimu ya msingi katika eneo hilo kabla ya kufaulu na kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Ilboru na Mzumbe ya mkoani Morogoro.
Katika miaka ya 1970, aliajiriwa katika kampuni ya TSN kama mwandishi wa kawaida na baadaye kujiunga na idhaa ya Kiswahili ya BBC kama mtangazaji. Ameacha mjane na watoto wawili ambao wako Amerika ya Kusini.
Mipango ya maziko inasubiri ndugu, jamaa na marafiki walioko nje ya mkoa wa Arusha na sehemu zote alizofanyia kazi.
Wakati huo huo, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro ametuma salamu za rambimbi kutokana na kifo cha mwandishi huyo na kuelezea jinsi alivyoguswa na msiba huo.
Dk. Migiro alisema alipoteuliwa kushika wadhifa huo katika UN, Sikawa alikuwa mwandishi wa kwanza kumtafuta kwa ajili ya kumhoji juu ya uteuzi huo.
Kwa habari zaidi soma:
http://dailynews.habarileo.co.tz/home/index.php?id=8536
Albino Mjamzito Akatwa Mikono Bongo!
*************************************************
Kutoka ippmedia.com
Albino mjamzito avamiwa usiku
2008-11-19
Na Mwandishi Wetu, Kagera
Mama mmoja mwenye ulemavu wa ngozi yaani albino, ambaye pia ni mjamzito, amevamiwa na watu watatu akiwemo jirani yao usiku wa manane na kumfyeka mikono.
Majeruhi huyo aliyefahamika kwa jina la Bi.Mariamu Stanfod amesema kuwa akiwa amelala na wadogo zake, alivamiwa na wahalifu hao kisha wakamkata mikono na kutoweka.
Amesema kutokana na kupoteza mkono, sasa anahitaji msaada hasa utakapofika wakati wa kujifungua na jinsi ya kumhudumua mototo wake.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali Tteule ya Mrugwanza ambayo amelazwa majeruhi huyo, Dk. Maginus Ndolichimpa, amesema mwanamama huyo alikatwa na kitu chenye ncha kali.
Akasema kitu kilichotumika kumkata mikono kilikuwa na kutu inayoozesha vidonda, hali inayowalazimisha kusafisha vidonda hivyo kila siku ili kumnusuru majeruhi huyo na kansa ya mifupa.
Baba mzazi wa Marimu, Bw. Stanfod Bandaba amesema, baada ya kushitushwa na kelele za mtoto wake aliyekuwa akiomba msaada, alitoka nje na kuwakuta wahalifu hao wakiwa wamezingira nyumba yake.
Amesema hata hivyo wahalifu hao walifanikiwa kutoroka ila kutokana na maelezo ya Mariamu wameweza kubaini mmoja ni jirani yao.
Bw. Bandaba amesema wananchi walifanikiwa kumtamata jirani huyo akiwa nyumbani kwake na kumfikisha kituo cha Polisi.
Amesema kwa yeyote atakayegushwa na tukio na angependa kumsaidia Bi. Marimu, atumie akaunti namba 3211601173 au awasiliane na Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali hiyo kwa simu namba 0785-424299, au 0755- 8019 17.
SOURCE: Alasiri
Al Qaeda wamtishia Obama
Unaweza kupata habari zote CNN.
http://www.cnn.com/2008/US/11/19/obama.alqaeda/index.html
Vitisho vinazidi juu ya maisha ya Barack Obama na familia yake. Kuna wazungu wachache wenye hasira kwa vile kashinda. Wanaona kuwa nguvu ya mzungu Marekani umepungua. Na nasema acha ipungue weusi na watu wengi wasio wazungu wamenyanyaswa kweli hapa Marekani. Hii nchi ina historia chafu na mbaya mno kwa upande wa ubaguzi.
Wataalamu wanasema kuwa Sarah Palin alichochochea huo ubaguzi ambayo tunaiona leo. Watoto wadogo wanasema "Mwue Obama", Misalaba inachomwa kwenye nyumba za weusi, nyumba na magari ya weusi zinachorwa na maneno ya kukashifu weusi na matukio mengi.
Mnaweza kusoma habari zaidi hapa: http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/us_and_americas/us_elections/article5172285.ece
Mimi nadhani Obama atakuwa ni rais mzuri kuliko wote hapa Marekani. Kwanza hapa USA ukiwa mweusi ni lazima uchape kazi mara nne ya mzungu. Hivyo tayari tunajua atachapa kazi zaidi. Watu wana matumaini makubwa juu yake. Obama ana kazi kubwa sana ya kujenga nchi aliyobomoa Bush.
Na naomba kuuliza, Bush yuko wapi siku hizi? Hata zile hotoba zake za kila wiki kwenye redio zimezidi kuwa fupi. Bush kachoka na nadhani siku akiondoka White House atafurahi sana.
Salamu kutoka familia ya Baracka Obama

http://link.brightcove.com/services/link/bcpid353515028/bctid1349141721
WAPI Novemba
Programu yetu itaanza saa 9 Alasiri Mpaka 2 usiku (3pm-8pm) Ngome Kongwe (Old Fort)
NJOO USHIRIKI NA KUTHIBITISHA UWEZO WAKO KATIKA SANAA, NA PIA USHIRIKI KATIKA MAJADILIANO JUU YA MADA YA MWEZI HUU AMBAYO NI:
SAANA NA UJASIRIAMALI
MENGINEYO YATAKAYOJIRI NI PAMOJA NA:
Mashindano ya uchoraji kwa vijana chini ya miaka 17
Mchakato wa kumtafuta Emsii wa WaPi
Ushindani katika kipaza sauti
WASANII WATAKAOWAKILISHA NI PAMOJA NA
Dr Mjusi na Profesa Kazi – Dar es salaam (Muziki na vichekesho)
Black Roots
Chabi 6 & Mr Mvuto
Zero Kasorobo
Na Ngoma asilia
Tuesday, November 18, 2008
Urgent- Casting Notice African Women
AFRICAN WOMEN’S UJAMBO (GOOD HEALTH) INTIATIVE
CASTING CALL
When:
November 25, 2008
Where:
Boston University Medical Center
Dowling 7
One Boston Medical Center Place
Boston, MA 02118
Time:
12pm to 8pm
Contact:
Bob Dreissig
508-655-3555
MUST CONTACT BY NOV. 19TH TO CONFIRM TIME SLOT
Boston Medical Center and the U.S. DHHS Office of Minority Health is having an open casting for a series of videos directed to African immigrant and refugee women and focusing on issues of women’s health.
We are looking for female African women actors playing the roles of patients, friends, relatives, etc. These are speaking roles. The ages range from teenagers to women in their mid 40’s.
We also need one African male, who plays the role of a husband. His age is between 25 and 45.
We need Extras with non-speaking roles. The ages range from 5 – 35.
All cast personnel must be available for Rehearsal on Friday, December 5, 2008 and for Shoot days from December 2 – 11. We will only be shooting two of these days. As of now, we are focusing on Tuesday and Wednesday, December 9 & 10.
These are paying roles and you must contact Bob Dreissig from Playback, Inc. at 508-655-3555 for more details.
Saturday, November 15, 2008
Swahili Time itarudi Jumatano 11-19-08
Thursday, November 13, 2008
Tiba ya UKIMWI!!!

Tuombe kuwa hii tiba ni tiba ambayo dunia umeusubiri kwa muda mrefu mno na utaponyesha watu wengi walioathirika na UKIMWI na virusi vya UKIMWI.
*******************************************************************
Kutoka: http://www.dw-world.de/dw/article/0,2144,3787690,00.html
The patient in question was a 42-year-old American living in Berlin who was undergoing a bone marrow transplant at that city's Charite hospital.
The bone-marrow donors were selected because they possessed a rare HIV-resistant genetic mutation since the man had to stop taking AIDS-inhibiting medication for the cancer treatment to work.
On Wednesday, Nov. 12, doctors announced that after two years of treatment, not only had the patient not contracted AIDS -- his blood now appeared to be clear of HIV infection.
"There is no longer demonstrable evidence that the patient is infected," Eckhard Thiel, Director of Charite's Clinic for Hematology and Oncology, told reporters. "We're very happy and proud to have achieved this breakthrough."
Thiel added that the result was the first of its kind ever recorded in the world.
The question is now: What could it mean in the search for a cure for HIV-AIDS?
No immediate remedy
Scientists cautioned that the fact that the HIV virus can no longer be detected in the patient's blood stream does not necessarily mean it is absent from his entire body.
"The HIV virus could be in the spleen, the lymph nodes, the nerve cells -- anywhere really," Norbert Brockmeyer, a clinic director at the university hospital of Bochum, told the online edition of the news magazine Der Spiegel.
And even if effective against HIV, several factors argue against the idea that similar treatments could be carried out on a wide-spread basis.
Bone marrow transplants and the accompanying chemotherapy are themselves dangerous procedures, and the patient in question was fortunate in having a genetic make-up that allowed for an unusually high number of potential donors.
Charite doctors say they are monitoring the patient's health and are prepared to put him back on anti-retroviral drugs if the HIV infection reappears.
"We cannot say with certainty that the virus won't begin replicating itself in the future," Thomas Schneider, Charite's Director of Infectology, told a press conference. "But the mere fact that it hasn't yet done so, is a minor sensation."
More research will be needed to determine what exact significance, if any, the breakthrough at the Charite has for the overall fight against AIDS.
Today, more than 38 million people, mostly in Africa and Asia, are estimated to be infected with HIV, the virus which causes AIDS.
UPDATE - Kifo cha Miriam Makeba 'Mama Africa'
JOHANNESBURG (AFP) — South African singing legend and activist "Mama Africa" Miriam Makeba on Wednesday made her final journey home, arriving in Johannesburg from Italy where she died age 76.
Makeba's wooden coffin was met at OR Tambo Airport by the singer's family, who were joined by arts minister Pallo Jordan and several prominent South African musicians.
Family and friends led a procession of cars to take the coffin from the airport to a mortuary in Soweto, radio reports said.
The South African cabinet was discussing a state funeral for Makeba during its weekly meeting, said arts ministry spokesman Sandile Memela.
"There is no doubt that the whole question of whether Mama Africa should recieve a state funeral will definitely come up," said Memela.
"A decision has not yet been made but it is hoped that at the end of the meeting... we'll know what the plans are."
Makeba's band, who returned to South Africa on Tuesday, gave details of the star's final concert to the local media.
"She was enjoying herself," Zamo Mbutho, a backing singer and composer with the band, told the Sowetan newspaper.
The audience had loved her performance, althought she played fewer songs than originally planned. She finished off with "Pata Pata", one of her best known hits, he added.
"After the song she thanked the audience, blew kisses at them with a radiant smile and left the stage. As she went past me, she put the mic on the drum. As she went down the stairs, she fell."
"It was the first time she left alone," guitarist Mandla Zikalala told the Star.
Born in Johannesburg on March 4, 1932, Makeba was one of Africa's best known singers, famed for hits such as "Pata Pata" and "The Click Song" but also for speaking out about the abuses of apartheid.
South Africa's white regime revoked Makeba's citizenship in 1960 and even refused to let her return for her mother's funeral. The singer spent more than three decades in exile, living in the United States, Guinea and Europe.
Makeba won a Grammy award for Best Folk Recording with US singer Harry Belafonte in 1965. But her music was outlawed in her homeland after she appeared in an anti-apartheid film.
"I kept my culture. I kept the music of my roots," she said in her biography. "Through my music I became this voice and image of Africa, and the people, without even realising."
While she was still in enforced exile, she performed with Paul Simon in the US singer's 1987 Graceland concert in Zimbabwe, neighbouring South Africa.
She finally returned to her homeland in the 1990s after Nelson Mandela was released from prison, as the apartheid system they had both fought for so long began to be dismantled.
But it took her six years to find someone in the South African recording industry to produce a record with her. She entitled it "Homeland."
Ajaribu Kuuza Mke Wake Zeruzeru
Bora wazazi wamchukue binti wao maana huyo jamaa alikuwa ni shetani!
******************************************************************
Kutoka BBC News
Man 'tried to sell' albino wife
This albino grave was sealed to stop people digging up the body
Police in southern Tanzania say they have arrested a man accused of attempting to sell his albino wife.
The man was allegedly planning to sell his wife to two Congolese businessmen for around $3,000.
Albinos have been living in fear in Tanzania after a series of killings due to a belief their body parts can make magic potions more effective.
At least 27 people with albinism have been killed since March, including a seven-month old baby.
President Jakaya Kikwete ordered a police crackdown on those involved in the killings, and 170 witchdoctors have since been arrested.
But BBC investigations suggest that some police are being "bought off" in order to look away when such crimes are committed.
Angry parents
Rukwa regional police commander Isunto Damian Mantage said the fisherman was arrested following a tip-off from an informer, according to the Daily News newspaper.
His wife was not aware that he was planning to sell her off, police say.
Mr Mantage says the wife's angry parents have decided to take back their daughter.
The businessmen managed to escape arrest, and are suspected to have fled back to the Democratic Republic of Congo.
The police have asked Interpol to help track them down, the newspaper reported.
The recent attacks on albinos have been linked to witchdoctors who are peddling the belief that potions made from an albino's legs, hair, hands, and blood can make a person rich.
Albinism affects one in 20,000 people worldwide, but in Tanzania the prevalence appears to be much higher.
The Albino Association of Tanzania says that although just 4,000 albinos are officially registered in the country, they believe the actual number could be as high as 173,000.
A census is now underway to verify the figures.
************************************************************************
Wadau, ni kwa nini Tanzania tuna idadi kubwa ya albino kuliko nchi zingine?
Wednesday, November 12, 2008
Hotoba ya Mwalimu Nyeyere
****************************************
Karibu kumsikiliza Mwalimu J.K Nyerere katika hotuba aliyoitoa sikuya Jumanne, Machi 14, 1995 katika iliyokuwa hoteli ya Kilimanjaro.
Hotuba ya Mwl. J.K Nyerere siku ya Jumanne Machi 14, 1995 (sehemu ya1/3)
Subi
Tuesday, November 11, 2008
Utabiri wa Robert Kennedy

But aside from that, his words were prophetic. Kennedy said this in 1968, here it is 2008? Exactly FORTY YEARS LATER!!! One of those things that make you say hmmm.
Monday, November 10, 2008
Rest in Peace - Miriam Makeba 'Mama Africa'

Miriam Makeba akiimba huko Italia jana muda mfupi kabla ya kifo chake. Watu waliokuwepo wanasema aliimba vizuri mno na alivyomaliza walikuwa wanataka aimbe tena, lakini ndo alishaanguka na kukimbizwa hospitalini.
Miriam Makeba 1932-2008November 10, 2008 ,
Diane Coetzer, Johannesburg
South Africans are mourning the loss of Grammy-winning singer Miriam Makeba, who died in Italy last night (Nov. 9).
The singer has been described as "one of the greatest songstresses of our time," by the country's Foreign Affairs Minister Nkosazana Dlamini-Zuma, and tributes to Makeba are pouring in from her creative collaborators.
Makeba died at the Veneto Verde hospital near Naples after performing at the Castel Volturno.
Although no official word has been received of the cause of death, the 76-year-old reportedly suffered a heart attack after taking part in a concert for Roberto Saviano, a writer threatened with death by the Mafia over his expose "Gomorrah." Her last performance was a half-hour set alongside other singers and artists.
Makeba's publicist, Cape Town-based Marc le Chat, has confirmed that the singer had been struggling with arthritis over the past years but had still been accepting key live dates.
Many here are seeing it as important that "Mama Africa" -- as Makeba was dubbed -- died after performing for a cause that puts human rights in the spotlight.
Makeba had first come to fame as a singer with the Manhattan Brothers in the 1950s. She later formed her own group, the Skylarks, and joined the cast of the now iconic musical "King Kong." In 1959 she starred in the anti-apartheid documentary "Come Back, Africa," which led to a meeting with Harry Belafonte, who helped Makeba gain entry to the United States, where she lived in exile.
Among her many notable achievements was becoming the first African woman to win a Grammy, gor Best Folk Recording in 1966 with Belafonte for "An Evening With Belafonte/Makeba." Makeba also scored hits with "Pata Pata" and "The Click Song."
http://ap.google.com/article/ALeqM5jK_Aed0fG4UHhDXEI2SuOdZLDKHAD94C29N80
Sunday, November 09, 2008
Majina ya Watoto Bukoba
***************************************************************************
Yafuatayo ni majina ya watoto waliozaliwa Juzi huko Kanyigo Bukoba Kagera Baada ya Obama kushinda Uchaguzi mkuu wa USA:
Rweobama
Mutayobama
Barackruigumbiza
Kokubama
Rutobama
Rweimobama
RutashyObama
Rugabaraka
Muchungobama
Rugaimobama
Barakagemalira
Obamuwegasira
Kalokobama
baraka Rutabanzibwa
Rumanyikobama
Mugyabusobama
Ishengobama
Wapenzi wa Obama Uturuki

Asante nifahamishe.com kwa kuleta habari hizi.
*********************************************************************
Baada ya Barack Obama kuchaguliwa kuwa rais wa 44 wa Marekani
wanakijiji wa Cavustepe katika Mkoa wa Van nchini Uturuki wameamua
kumtolea kafara mheshimiwa Obama kwa kumchinjia kondoo 44.
kwa habari kamili na picha zaidi link ni
http://www.nifahamishe.com/newsindetails.aspx?Cat=2&&NewsId=288238
Visit http://www.nifahamishe.com/ for Tanzania and world news
Saturday, November 08, 2008
Casting Call - The Cougar
The search is on for charming, attractive, adventurous guys 21-29 are interested in vying for the attention of a successful, smokin’ hot, older woman!
If you or someone you know fits the bill, then meet us for our OPEN CALL at:
FELT Boston
533 Washington St. Boston, MA 02111
Saturday, November 15, 2008
9PM-Midnight
*To submit via home tape if you are unable to attend the casting event, please email contact information & recent pictures to:
Bethany@kasstinginc.com*



