Tuesday, November 11, 2008

Utabiri wa Robert Kennedy

Marehemu Robert Kennedy, mdogo wake John F. Kennedy ambaye aliuawawa mwaka 1963 akiwa rais wa Marekani, alitabiri mwaka 1968 kuwa huenda baada ya miaka 40 mtu mweusi ataweza kuwa rais.Just for common knowledge: Negro was the politically correct term for identifying black people in the 1960?s, instead of the other word, so Bobby Kennedy was being quite respectful to Black (African Americans) in that aspect when he gave this quote at that time.

But aside from that, his words were prophetic. Kennedy said this in 1968, here it is 2008? Exactly FORTY YEARS LATER!!! One of those things that make you say hmmm.

2 comments:

Anonymous said...

chem hebu fafanua kauli yako mbona unasema alitabiri mwaka 1968 na yeye alikufa mwaka 1963 sasa alitabiri akiwa kaburini? au umekosea tarehe? hebu cheki huo ufafanuzi wako na kisha urekebishe

Chemi Che-Mponda said...

Anonymous wa 12:17am. Aliyekufa 1963 ni kaka yake John F. Kennedy. Bobby alikufa 1968.