Wednesday, November 19, 2008

WAPI Novemba

JUMAPILI TAREHE 23 NI SIKU YA WAPI ZANZIBAR

Programu yetu itaanza saa 9 Alasiri Mpaka 2 usiku (3pm-8pm) Ngome Kongwe (Old Fort)

NJOO USHIRIKI NA KUTHIBITISHA UWEZO WAKO KATIKA SANAA, NA PIA USHIRIKI KATIKA MAJADILIANO JUU YA MADA YA MWEZI HUU AMBAYO NI:

SAANA NA UJASIRIAMALI

MENGINEYO YATAKAYOJIRI NI PAMOJA NA:

Mashindano ya uchoraji kwa vijana chini ya miaka 17

Mchakato wa kumtafuta Emsii wa WaPi

Ushindani katika kipaza sauti

WASANII WATAKAOWAKILISHA NI PAMOJA NA

Dr Mjusi na Profesa Kazi – Dar es salaam (Muziki na vichekesho)

Black Roots

Chabi 6 & Mr Mvuto

Zero Kasorobo

Na Ngoma asilia

No comments: