Thursday, August 09, 2007

Baada ya kazi burudika na...

Baada ya kazi ngumu ya kuwa kwenye seti ya Bongoland II, nilikuwa naburudika na NDOVU baridi. Kati ya bia nilizoonja huko Bongo, nilipenda sana Ndovu.
Huyo ni Antoine Kibira, ndugu yake Josiah Kibira. Alitusaidia sana kwenye maswala ya Usafiri.

Star wa Bongoland II Peter Omari aliamua kuburudika na Tusker baridi na supu ya Makongoro.

2 comments:

Anonymous said...

Chemi jamani na mwili wote unapata ndovu???????? wewe konyagi ndo mwake au GIN. Hii ndovu itakuongezea kufutuka mwanangu hadi mzee atakuwa anapata taabu sababu kukukuruka kunaweza kukakushinda na ukamsababishia mzee acheze na dodgodogo

Anonymous said...

eeeh, Peter Omari siku hizi unakunywa pombe!???..tangu lini?!