Kwenye gazeti la SANI la jumamosi kuna picha ya John Komba na Mpakanjia, John Komba anamsindikiza Mpakanjia Kigamboni kwenda kuomba msamaha kwa mkwe wake wa kiarabu. Hapo kuna utata ina maana ni kweli Mpakanjia alimuoa binti wa kiarabu wa huyo mzee.
Duh hiyo shule "English Medium" kweli? Sijaona sentensi yenye Kiingereza kilichonyooka kwenye hiyo blogu yao, makubwa! Yaani hata hiyo "motto" yao getini, eti "Quality for Excellency" duh, kazi ipo...
hizi shule za "english medium" ni "buyer beware"-utafiti wangu wa haraka haraka ni kuwa walimu wengi wanaofundisha hizo shule hawajui kiingereza, si unajua kiingereza chetu cha wabongo!!
Mtu akiniambia kuwa eti shule yake ni "strictly english medium" mie namuangalia tu. Kutokana na mfumo wetu wa elimu toka uhuru, itatuchukua muda kunyoosha kiingereza chetu wabongo (tulio wengi-sio nyie akina chemi na wasomaji wengine wa blog hii!!). Wenzetu wakenya na waganda wapo mbali zaidi (kwenye lugha sio elimu), lakini naamini tutawafikia siku moja.
Ndio maana walimu kwenye English Schools huko Bongo wengi wanatoka Kenya na Uganda. Nyerere alituharibu na Kasumba! Matokeo yake wabongo tuko nyuma kwenye Englishi.
Nilikuwa mwalimu mwanzilishi wa keland na naomba niwahakikishie wateja wa keland kwamba ni shule makini na uongozi wa shule unajitahidi kuwapa ubora uliyo sifika
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
9 comments:
Kwenye gazeti la SANI la jumamosi kuna picha ya John Komba na Mpakanjia, John Komba anamsindikiza Mpakanjia Kigamboni kwenda kuomba msamaha kwa mkwe wake wa kiarabu. Hapo kuna utata ina maana ni kweli Mpakanjia alimuoa binti wa kiarabu wa huyo mzee.
Da chemi hii shule si iko pale jirani na kwenu does it mean ....
anonymous wa 8:54am, does it mean what?
I have nothing to do with it. If you have any news or blog you want to publicize send it to me.
Mi nafikiri mpishi huitwa Cook au Chef.
Hawa jamaa wameandika cooker
Duh hiyo shule "English Medium" kweli? Sijaona sentensi yenye Kiingereza kilichonyooka kwenye hiyo blogu yao, makubwa! Yaani hata hiyo "motto" yao getini, eti "Quality for Excellency" duh, kazi ipo...
hizi shule za "english medium" ni "buyer beware"-utafiti wangu wa haraka haraka ni kuwa walimu wengi wanaofundisha hizo shule hawajui kiingereza, si unajua kiingereza chetu cha wabongo!!
Mtu akiniambia kuwa eti shule yake ni "strictly english medium" mie namuangalia tu. Kutokana na mfumo wetu wa elimu toka uhuru, itatuchukua muda kunyoosha kiingereza chetu wabongo (tulio wengi-sio nyie akina chemi na wasomaji wengine wa blog hii!!). Wenzetu wakenya na waganda wapo mbali zaidi (kwenye lugha sio elimu), lakini naamini tutawafikia siku moja.
Ndio maana walimu kwenye English Schools huko Bongo wengi wanatoka Kenya na Uganda. Nyerere alituharibu na Kasumba! Matokeo yake wabongo tuko nyuma kwenye Englishi.
acheni mambo ya wazushikama mlalahoi kazeni buti. Yaani mtu anamua kuitwa mlalahoi!! Endelea kulala hoi

Post a Comment