Friday, August 17, 2007

Mapaja ya Ajabu?


Nimeona hii picha kwa Michuzi Jr. (Jiachie Blog) Sasa nimebakia kushangaa haya mapaja ya huyo densa yako hivyo na ma stretch marks kibao au kuna mtu kamfanyia ubaya na photo shop software?
Ni mchezaji wa Koffi Olomide.

11 comments:

Anonymous said...

Huyo dada kavaa na pedi nini?

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Hiyo siyo pedi da Chemi. Huyo jamaa ni transvestite. Ni ume hiyo.

amir said...

huyo dada ni aibu tupu umbo baya marks zimemyapakaa kila mahali

Anonymous said...

Tukisema haki kwa mwanamke ni mwanamke mwenyewe na si kulazimisha kwa kubeba mabango wenzangu na mie wafeminist mwaweza kunimaliza hasa Da ch.... Ebu niambie kujianika hadharani namna hii kwa mamia ya watu, heshima itatoka wapi tena? Ukikutana na kijana mdogo akakukumbusha ya jana? Utakasirika na kukimbilia TAMWA kuomba ushauri wa kisheria. Hivi hakuna jinsi nyingine ya uchezaji pasipo kuonyesha undani wa maumbile yetu? Mbona wanaume hatuwaoni wakifanya hivi? Au ndo tunatumiwa pasipokujua? Eti kwa ajili ya visenti kiduchu? Haya nawaachieni nyie!

Anonymous said...

Kwa kweli wanawawake wamezidi kujianika hadharani kama stage show. Tena mwone huyo yuko nusu uchi. Hebu mjiheshimu akina dada. Na hayo mapaja ndo wanaume wameyachezea na kila moja kuweka jina lake hapo?

Anonymous said...

dada ana selulite za nguvu...anahitaji tiba ya kuondoa mafuta mabajani..

Anonymous said...

hizo stretch marks inawezekana ni matokeo ya kutumia madawa makali ya kuchubua yenye "steroids" ndio madhara ya steroids za mda mrefu.

KakaTrio said...

Mimi sioni ubaya wa huyo dada ku earn living yake, sasa aogope nini mbona wadada wooote hata wasio steji shoo wanatenbea nusu uchi?

hhizo strch maki zimetokea kama vile chunusi zinavotokea, je na nyuso za wenye chunusi zifichwe wapi?

na kwanini hakuna mtu nasema anaonekana kuwa dansa mzuri? wanadamu bana tuko negativu sana, wakati woote tunaangalia mabaya na kuyasema tuuuu na kufimbia maco yaliyomema. hivi huyo dada angekuja kukuombeni hela ya kula kwa sabu hawezi dansi kwa ajili strechi maki kweli mngempea hio hela?

Kibunango said...

Ukiondoa hizo alama kwenye mapaja.. ambazo sababu zake zinajulikana, dada huyo yupo kazini na anapaswa kuheshimiwa kwa hilo...

Anonymous said...

Hongera Magdalena,

Umesema vema sana. Hebu kinamama tafuteni njia ya kuwaambukiza wanawake wenzenu umakini kama huu ulio nao wewe, pengine hili tatizo litapungua.

Hivi wanawake mna habari kwamba maneno na matendo yenu yanaathiri maisha ya watu ulimwengu mzima? Hivi mnajua kwamba hata mambo mengi wanayofanya wanaume yanatokana na malezi ya mama zao? Wanawake huzaa watoto kwa miili yao, lakini kwa malezi huzaa jamii nzima. Watoto wa kike kwa kiasi kikubwa hujifunza tabia kutoka kwa mama zao. Na watoto wa kiume kwa kiasi kikubwa pia hujifunza mengi sana kutoka kwa mama zao, kwani ndio wanaokaa nao muda mrefu zaidi hasa katika zile hatua za awali za kukua. Hata huu mfumo dume uliopo siku hizi ni mama zetu wameupalilia kwa kiasi kikubwa. Ni kawaida kuona mama akimkataza mwanawe wa kiume asiwe "kama mwanamke", au kumsifia kwa kufanya jambo la "kiume". Mama anawafundisha binti zake kuwanyenyekea na/au kuwatumikia kaka zake. Na muda wa kuolewa ukifika binti anafundishwa "kumtunza" mumewe, na wanaofanya kazi hii ni wanawake. Ikitokea mama amemtembelea mwanawe wa kiume akamkuta anapika kwa mfano ilhali mkewe yupo, mama huyo atajisikia vibaya sana, kwamba mwanawe labda kawa "mdebwedo" kiasi cha kutawaliwa na mkewe! Ati kufanya kazi za ndani ni ishara ya kutawaliwa!

Kifupi tu ni kwamba wanawake ndio waalimu wa kwanza kwa binadamu yoyote, na wanasikilizwa sana. Wakitufundisha mabaya tunayafuata, na wakitufundisha mazuri pia tunayafuata. Tunawaamini sana.

Wanawake wenyewe ndio wanaoifundisha dunia kwamba wanapenda kufanyiwa hayo ambayo wengine wanasema ni udhalilishaji wa wanawake.

Sasa tunawaomba wanawake mshikamane katika kutufundisha mema, kwani mkituelekeza kwenye mabaya mtatuangamiza sote.