Hapa niko na Dada yangu mpendwa, Bi Evodia Ndonde, ambaye aliwahi kufanya kazi Tanzania Film Company. Sasa ana kampuni yake ya video production. Naye ni mwanachama wa TAMWA miaka mingi.
Mwandishi wa Habari wa The Guardian, Lucas Lukumbo alipita kusalimia wana TAMWA. Kulia ni mwenyekiti wa TAMWA, Bi Ananilea Nkya.
Hapa niko na Dada Edda Sanga ambaye amestaafu kutoka Radio Tanzania hivi karibuni. Dada Edda aliwahi kuwa Mwenyekiti wa TAMWA.
TAMWA wanapokea interna kutoka nchi mbalimbali kila mwaka. Huyo dada yuko TAMWA kwa kipindi cha mwaka moja, anatoka Norway. Pia kulikuwa na akina dada kutoka Zambia, Ethiopia na Canada.
Hapa nipo na Dada Fatma Alloo, aliyekuwa Mwenyekiti wa TAMWA miaka mingi. Alitufundisha mengi kuhusu uongozi katika zile siku za mwanzo wa TAMWA.
Mwenyekiti wa TAMWA kwa sasa, Bi Ananilea Nkya, Mimi, Dada Evodia Ndonde na Edda Sanga. Dada Ndonde ana kampuni ya video production, na mimi niliwahi kuwa Publicity Secratary wa TAMWA na kwenye Executive Board.
3 comments:
Hi Chemi, nimefurahi sana kuiona picha ya Edda Sanga, ninakumbuka sauti yake wakati anasoma habari za external service Radio Tanzania, hakika ilikuwa nzuri.
Dada Chemi, Kweli umenikuna na picha za hao akina dada wa zamani, mama zetu sasa.
sasa dear, kweli wenzetu mmtoka, vipi TAMWA na wewe kuandaa vipindi maalum vya kuwa jengea uwezo wakina dada watoke kama nyie. sio siri TAMWA inafanya kazi, Mama Annilea hana mchezo, uje mama Fatma Aloo pamoja na kwamba yupo Zenji bado sambamba na TAMWA inafurahisha. Please toaeni kipindi akina dada tutoke hivi then weka profile kidogo za akina mama/dada waliotoka
hongereni tamwa ila kuna mnafiki mmoja huyu ananilea nkya ni fisadi nyangumi hapo tamwa ni mwiziii kupindukia awekwe mtu anayejali masilahi ya wengine na sio ummimi kama huyo bibi
Post a Comment