Wednesday, August 29, 2007

Kila mtu anabeba Msalaba wake mwenyewe!











Hizi picha zimenikumbusha ule wimbo wa kwaya, Kila mtu atauchukua...mzigo wake mwenyewe!
Ama kweli msalaba unaobeba ni wako.


THE CROSS


Whatever your cross, whatever your pain,
there will always be sunshine, after the rain ....

Perhaps you may stumble, perhaps even fall,
But God's always ready, To answer your call ...

He knows every heartache, sees every tear,
A word from His lips, can calm every fear ...

Your sorrows may linger, throughout the night,
But suddenly vanish, dawn's early light ...


The Savior is waiting, somewhere above,
To give you His grace, and send you His love ..


Whatever your cross, whatever your pain,
"God always sends rainbows .... after the rain ... "

5 comments:

Anonymous said...

Da Chemi sijawahi kucheka hivi, its so educative. You have made my evening kwa kweli na nitawatuma watu kibao waje wajifunze. Thanks a lot. Jamaa alifurai kweli alipopunguziwa mzigo hajui aendako kutakuwaje!!!

Anonymous said...

Jamaa anapiga muluzi kwa raha ya kupunguziwa mzigo kumbe huko mbele atajuta!

Anonymous said...

Da Chemi, kutangaza injili si mpaka ubebe biblia na kuanza kuwasumbua watu barabarani. Kwa kweli hii nayo ni njia endelevu. Unafaa kabisa kufundisha watu wenye "Autism" (kiswahili chake sijui utanisamehe). Asante sana dada hiyo ndiyo hali halisi.

Anonymous said...

Daah asante sana Dada Chemi kwa mafundisho mazuri namna hiyo, yani imenifurahisha sana. Keep it up tufundishe na mengine mengi.

Bleess you, Amen.

Anonymous said...

Haleluya! Dada Chemi kwa kuacha pombe na kuwa Padri Mhubiri Injili wa kujitegemea bila kusubiri kuwekwa wakfu na Papa Benedicto wa Roma ambaye hataki kuwapa wanawake upadri pamoja na kuwa ndio wamemzaa na kumlea hadi akafikia kuwa Papa.

Mimi ni mwanamke mkatoliki nataka kuwa padre hivi huko marekani hamna mapadre wanawake pia kama huku Tanzania wanakotukatalia?