Wednesday, August 15, 2007

Mkenya Anastasia Olouch anatafutwa na polisi!

Anastasia Olouch

Jamani, jamani, jamani, watu wengine wana laana! Leo nimesikia vituko vya huyo mama Mkenya, Anastasia Oluoch (54) huko Baltimore. Maryland. Anastasia aliajiriwa kumwangalia kibabu kizee wa miaka tisini nyumbani kwake baada ya kizee huyo kupata ugonjwa wa kupooza (stroke). Kumbe alikuwa anapiga mgonjwa! Mtoto wa huyo mzee alificha camera chumbani na kwa kweli inatisha hasa ukifikiria kuwa huyo babu hajiwezi.

Hapa unweza kuona footage ya video camera iliyofichwa chumbani inayoonyesha huyo babu akipigwa.

http://www.wbaltv.com/news/13891473/detail.html

Anastasia alikamatwa na polisi na kupelekwa rumande. Alitoka nje kwa dhamana, lakini siku ya kesi yake kufika mahakamani hakuonekana! Hivyo kwa sasa Anastasia Oluoch anatafutwa na polisi. Na huyo babu akifa kutokanan na kuumizwa na huyo mama anaweza kufungwa maisha!

*****************************************************************************
Caregiver Caught On Tape Abusing 90-Year-Old

BALTIMORE -- A Baltimore city woman who caught her elderly father being abused on tape by a home caregiver is fighting to get justice.

Jaki Taylor said she brought her 90-year-old father, John Taylor, home to be cared for after he had a series of strokes. She hired a caretaker but eventually found out that the woman she hired, Anastasia Olouch, was abusing him.

Taylor said she knew because she had installed security cameras in her home that caught Olouch, 54, abusing her father on four different occasions.

"In the video you see can Olouch using her fist and hitting him in the chest, stomach and arm. When we looked back (to earlier video), she also had him on his side and was banging him in his temples and slapping him in the back of his head," Jaki Taylor said.

John Taylor suffered two strokes and was unable to defend himself or communicate, his daughter said. Police arrested Olouch and a grand jury indicted her on multiple counts of assault, abuse of a vulnerable adult and reckless endangerment.

On Aug. 8 she was set to stand trail, but failed to appear.

"The state would like to go forward with this, and we are asking the state to seek her via a warrant and bring her to justice," said Margaret Burns of the city state's attorney's office.
Since the beatings, John Taylor has suffered several brain seizures. Doctor's couldn't say for sure if they were a direct result of the abuse, but Jaki Taylor said her father's health has deteriorated ever since.

She is asking that anyone who sees Olouch call police.

"This is a woman who sat in my dining room everyday, supposedly reading the Bible. My God, what God was she serving? Not the one I know," Jaki Taylor said.

She said that Olouch had also cared for children in Pennsylvania.

According to court records, Olouch is a citizen of Kenya. Her last known address was in northeast Baltimore.

Taylor said her father is getting great care in the nursing home facility in which he's currently located.
**********************************************************************

UPDATE: 8/17/07
Anastasia Olouch is still on the run. Bado anatafutwa. Video imeonyeshwa States zote za Marekani.

10 comments:

KakaTrio said...

Wengi wanapiga si wakenya wala wanaijeria au wazungu basi tu hawajawekewa video kamera za kuwakamata.

Ukiangalia hapo tatizo sio kupiga, tatizo ni hela kidogo wanayolipwa kulingana na kazi wanayoifanya. Pia utakuta wafanyakazi wanapangiwa watu wengi kupita kiasi kuwateki kea kwenye nesing home na hivyo kuwafanya wafanyakazi kuwa frustrated pale mgonjwa anapokuwa hasaidii kuifanya kazi ya nesi kuwa rahisi. kwa ujumla hakuna eksichuzi ya kumpiga mgonjwa lakini mie naoa kitendo hiko ni simptom ya tatizo linalowakabili manesi eidi.

Da Chemi laiti ungalikuw aumewahi kuzifanya izo kazi nazani usingeandika komenti uliyoandika pamoja na ubinadamu ulio nao.

Chemi Che-Mponda said...

Maricha,

Nakubaliana kabisa na wewe kuwa wengi wanapiga ila hawajakamatwa. Ila utu wangu unasema siwezi kumpiga mtu ambaye hajiwezi. Hapo nina huruma. Siwezi kumpiga mtu mgonjwa hata kama nina frustration kiasi gani. Laana kwa Mungu.

Na huyo mama alikuwa anafanya Private Caregiving ambayo inalipa vizuri kuliko hao wanaofanya kwenye nursing homes. Pia wengi wanofanya private wanapata tips kutoka familia ya ambaye wanamwuguza.

Nilishafanya kazi hospitalini hapa USA na kwa kweli manesi wana kazi ngumu maana ni kweli wanapangiwa wangonjwa wengi, na ole wao wafanye makosa katika car yao.

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
KakaTrio said...

Da Chemi,
Kufanya private care haina mana unalipwa hela nyingi kwnai watu hao hupelekwa na maajenti huko, kam ani hela nyingi wanachukua maajenti sio nesi assistant au home health eidi.

Pia ukiwa kama nesi au nesi eidi au dakitari kisheria huruhusiwi kuchukua tipu kutoka kwa mgonjwa, Unaambiwa kabisa hilo siku ya orientesheni, Tip ni NO NO na kama mgonjwa au familia watakuwa hawakuelewi unatakiwa kuchukua hio tipu na kuiripoti kwa menejimenti. Nafikiri tipu unayoweza kuchukua inatikiw aisizidi dola 5 kama sikosei.

Naomba nisieleweke vibaya, sisapoti kwa namna yoyote vitendo vya kupiga wagonjwa, lakini kupiga kwa mtizamo wangu ni simptom ya tatizo lililopo. Kama ukitumia uandisha wako wa habari lifanyie utafiti ilo la uyu dada utadundua ya kwamba alikuwa alikuwa analipwa kati ya dola 8 had 10 kama alikuwa napata 12 ana bahati ya mtende, halafu hio kazi alikuwa anaifanya either kwa lisaa limoja au mawili na distance ya kwenda hapo mahali hhuenda ni maili kadhaa. ukijumlisha yoote hayo utaona mama Mkenya alikuwa anafanya kazi ya bure!

KakaTrio said...

Duh Da chemi sasa una aprove commenti zetu za nini? umesoma hio ya anoni wa August 16, 2007 6:22 AM?

Chemi Che-Mponda said...

Maricha, samahani sikusome ile posti yote kumbe ilikuwa na tusi.

Naomba kama unaweza utazame ile video. Yule Mzee yuko uchi wa mnyama hajiwezi na anapigwa. Nimesoma forum ya waMarekani nao wanamlaani kweli huyo mama kwa kumpiga huyo mzee hivyo, wanaomba akikamatwa naye apigwe.

Najua kisheria watu hawatakiwi wapokee tips, lakini nakuambia wanazipokea na familia wanatoa kwa vile wanaona kuwa huyo caregiver atamhudumia vizuri zaidi.

Chemi Che-Mponda said...

Someni Hapa:

http://forums.about.com/n/pfx/forum.aspx?nav=printDiscussion&webtag=ab-crime&tid=17557

Na waKenya wamekasirika. Someni:

http://www.mashada.com/forums/politics/43424-aluoch-beats-up-90-year-old-man.html

Anonymous said...

Da Chemi,

Reporting yako itatia mashaka..wakenya this wakenya that..it leaves alot to be desired.
Unapenda kurukia issues za wakenya coz they seem to sell.Kama ulivyo aanza kwa title ya story yako.
Kwa nini wamarekani hawakuanza na mkenya ila wameanza na caregiver.

Anonymous said...

Da chemini mtanzania halisi. mngejua wakenya wanavyo tudharau na sasa wameingia nchini mwetu na kuchukua kazi zetu utaelewa maana yake nini. wanatudharau sana na kutuona wajinga wao na wahindi hawana tofauti ni wachache sana wenye utu. Regardless ya kulipwa hela kidogo etc etc yeye ni mtu wa mungu anamwomba mungu ampenguvu za kupiga mgonjwa? kama maisha yamemshinda arudi kwao kwanini uchafue jina la nchi yako ugenini? binadamu wote tuna frustrations lakini haimaanishi uanze kutukana watu barabara au kupiga watu na frustrations zako deal with it muombe mungu huyo huyo uziondoe kwakweli maricha samahani lakini hujanifurahisha regardless of anything hicho kitendo ni kibaya angekuwa mzazi wako ingekuwaje . my der huajfa hujaumbika ngoja yakufike halafu utajua nani anaye kuwa frustrated zaidi. and as for wakenya thing sijaona ubaya wowote kwani hata sisi tunasemwa na kupondwa vibaya sana

Anonymous said...

Wewe anony wa Aug, 17, 2007 12:42 usije ukaanzisha topic ikaanza kuboa watu sasa hivi, kwani tatizo liko wapi, kama kwenye media hawajatanguliza jina Wakenya does that make any difference to whether huyo mama kakosea au la? Sasa da Chemi kaanza na jina Mkenya roho inakuuma, shida yenu nyinyi wakenya mnatabia ya kujikweza sana lakini ukweli ni kwamba mnaongoza kwa roho zenu mbaya, unafiki na hii imetokana na historia zenu za ukabila, so get a life, kama hupendi hii topic utajijuuuuuuuuu!