Saturday, August 25, 2007

Mega Millions ni $250M na Powerball ni $300M, Jaribu bahati yako!


DOH! Fikiria unashinda bahati nasibu na kupata mapesa ya ajabu, mamilioni ya dola. Utafanya nini nazo!
Haya ndoto yako inaweza kukamilika maana zawadi kuu katika Powerball imefikia dola milioni mia tatu na Mega Millions imefikia dola milioni mia mbili na hamsini. Hela nyingi kweli, maana hata ukikatwa kodi bado zinabaki nyingi.

Jirani yangu alishinda dola 42 milioni katika Mass Millions. Kwa kweli kabala ya hapo alikuwa anasota na familia yake. Sasa ukimwona kavaa vizuri, kanawiri, lkanunua nyumba kubwa lakini hana raha maana anasema kila mtu anawomba pesa! Juzi niliwona na wanawake wa kizungu ambao zamani walikuwa wanamsema vibaya, na hawana time naye walikuwa wankimbilia kumkumbatia.

Nawauliza mkishinda pesa nyingi hivyo utafanya nini nazo?
*************************************************************************************
8-25-07

ATLANTA (AP) -- There is a lot of money out there for lottery players.

Nobody won last night's Mega Millions jackpot, and there's a huge Powerball prize on the line tonight.

No ticket sold in any of the 12 states that play Mega Millions had all the right numbers for the 206-million-dollar prize and the jackpot will be worth about 250 million for Tuesday night's drawing.

There were a dozen second-prize tickets that are each worth $250,000.

Friday night's Mega Millions number is: four, 21, 46, 51, and 53, with a Mega Ball number of five.

Tonight's Powerball prize is worth at least 300 million dollars. The game hasn't had a jackpot winner since June 27th.

The Powerball lottery is played in 29 states, the District of Columbia and the U.S. Virgin Islands.

No comments: