Tuesday, August 28, 2007

Makeover = Urembo Feki





Hata ukiwa mbaya kiasi gani unaweza kuwa mrembo kama una pesa za kufanya ma plastic surgery, kuvaa ma wigi na kutengenezwa na make-up kibao!

2 comments:

KakaTrio said...

Nafikiri unakuwa unakosea Da Chemi. Makeover siioni kama ni urembo feki bali ndio urembo wenyewe. Kwa wewe kujipaka enjo fesi sio kuwa feki, wewe kujipaka losheni sio kuwa feki, wewe kuweka relaksa sio kuwa feki wewe kuvaa nguo sio kuw amrembo feki zoote hizo ni makeover.

sasa kama una meno yamepandana au yaliaribika kwa kula pipi ukiw amdogo au kwa sabu moja au nyingine ukiwekea ya bandia kuna ubaya gani?
Plastic sajare zile za kuinua matiti na kukrekebisha pua kama za akina maiko jakisoni ndio mbaya lakini zingine ni muhimu na kama mtu atapendeza kwa ajili karekebisha mambo fula fulani ya mwili wake haina na mana ni mrembo feki!

Simon Kitururu said...

Wengine uzuri wao wa asili ndio ulikuwa baabu kubwa.Wakijibadili mimi ndio sinogewi. Mfano huyo kwenye picha ya kwanza. Au pia akina Michael jackson!