Thursday, August 09, 2007

Bongoland II ndani ya Bongo

Mimi na Josiah Kibira. Bwana Kibira ametunga sinema ya Bongoland II, ameuongoza na amecoordinate production. Pia ni Producer. Bongoland II ni sinema yake ya tatu, sinema zake zingine ni Bongoland I na Tusamehe.
Cameraman Sam Fischer na Soundman Alex Alvarez, wakijadili jinsi watavyopiga scene huko Mikocheni B. Josiah Kibira akitoka kucheki kuwa set up ya scene iko tayari.
Huyo ni Patrick kutoka Sofia Records akicheki scene kwenye camera.
Mimi na Peter Omari. Katika Bongoland II nimeigiza kama dada yake Zaina.

Thecla Mjatta na Peter Omari wakifanya scene katika Bongoland 2.
Director Josiah Kibira, akijadili jinsi ya kupiga scene.
Ndani ya hiyo nyumba kulikuwa na makochi imported, utadhani za IKEA.
Crew na interns kutoka UCLA wakijadili jinsi ya kupiga scene huko Mikocheni B.
Dada Thecla Mjatta yuko tayri kufanya scene yake.


7 comments:

Anonymous said...

sikujua kama na wewe ni mbilikimo. tindi kama una tenda.tenda gani?

Anonymous said...

Kijana hapo juu acha dharau, dada Chemi naomba tuwasiliane !
KM

Anonymous said...

Chemi hiyo kofia yako NY imekupendeza. Naomba na mimi unitafutie moja lakini isiandikwe NY, iandikwe tandale kwa sababu ndipo ninapo"belong", and proudly so...

Now chemi Im listening to bob marley the song "crazy bald heads" and I seen your photo when he was singing "brain washed education, to make the fools"

upo hapo dada?

Anonymous said...

halafu CHEMI na ile kampeni yako ya DNA kwa sisi akina baba tunaokataa mabao ya kusingiziwa ni lazima igonge ukuta.
Na kwa taarifa yako hakuna hata mwanaume mwafrika mmoja duniani ambaye hali ngoma ndogo nje. Ukiona hali ngoma ndogo basi ujue anatamani lakini hawezi kuipata. Sisi ni waafrika na kamwe hatutokuwa wazungu. Kama ukutaka mchunguze mumeo/bwanawako katika siku ambayo una uhakika kwamba hayuko katika "moody" ya kutomba na hata ngoma isisimame kabisa...., fanya mpango na rafiki yako asiyemjua akampe mambo, "moody" itamjia na ngoma itasimama. Mwili wa mwanamume wa kiafrika hauwezi kuridhika na ngoma hiyohiyo tuu kila siku? Ebo! ndo maana wadhungu wanatuvamia kwa sababu wanaupenda huu moto, baadaye wanagundua kuwa huu moto unawaka everywhere, tunaachana nao.

Hata bwanaako ana-cheat, ingawa shukuru mungu kuwa labda hujawahi kumkamata.
Mimi mwenyewe na-cheat, baba yangu ana-cheat, na babu pia alikuwa ana-cheat. Na wanangu pia wata-cheat. DON'T GET ME WRONG... as I don't take it as a credit, or compliment,... IT'S JUST A BRUTAL REALITY which an african woman has to live with. Cha muhimu tuu ni kwamba, boys, play safe unapokuwa kwenye uwanja wa nje.

Anonymous said...

Da chemi, kwa kweli we na Josiah yaani mna match kabisa. Ningekuwa wewe ningemtupilia mbali mchungaji na kuambatana na huyo handsome boy kwa kweli mmetoka hadi nawaonea kijicho. Shepu zenu zinaendana kabisa. Haya kazi kwako. Hata za chini chini mwaweza kwenda maana naona huyo anaweza kukuridhisha kabisa.
Ciao!

Anonymous said...

Mmh Chemi ulivyomkumbatia Peter Omari kama vile hutaki aondoke. LOL! Na kwa huyu aliyetoa comment juu kuhusu wewe na Josiah ana pointi maana mmetoka vizuri kweli kwenye hiyo picha. Ila najua Josiah ni mtoto wa Askofu.

Anonymous said...

ARE YOU AWAKE MR PRESIDENT?

Hebu rejesha nyuma fikra zako mpaka mwezi Januari mwaka 2006, muda mfupi baada ya rais mpya Jakaya Kikwete kuapishwa kushika usukani wa Tanzania Company Ltd [Jamhuri ya Muungano wa Tanzania].

Idadi kubwa ya watanzania, naweza kudiriki kusema takriban asilimia 75 walikuwa na ndoto,...ndoto ya kuona maisha yao yakibadilika na kuwa bora.Si wamepata rais aliyeteuliwa na Mungu kuja kuwaokoa?[God's chosen president].

Sasa basi.....peleka mbele fikra zako mpaka wakati uliopo, kwa faida ya mjadala tuseme August 2007; rais Kikwete na serikali yake wamepoteza mwelekeo, kama ni mlevi tunasema kaanguka "chali".Ahadi walizotoa wameshindwa kuzitekeleza, wameshindwa kupata ufumbuzi kwa matatizo yaliyojitokeza na wamezidi kuahidi mengine chungu tele wakiwa hawajui maswala ya kuyapa kipaumbele [priority issues].Wanashika hili wanaachia kisha wanagusa jingine na kudakia kila wanalokosolewa.

Hivi mnaamini kwamba kimaendeleo tunaachwa na nchi zilizokuwa vitani kama Uganda na Rwanda?Aibu gani hii kwetu, what are we good at?Tuna madini [almasi, dhahabu, tanzanite, iron etc] tuna gesi [Songas and Artumas ni ushahidi bila kugusia mafuta ambayo mnajikanyaga kuhusu jinsi ya kuchimba], tuna bahari na maziwa na tuna mbuga za wanyama, lakini pia tuna ardhi kubwa yenye rutuba.Na juu ya yote hayo, tuna wananchi watiifu, ambao kama tungewashirikisha katika miradi ya maendeleo na kuwalipa haki yao ipasavyo, hakika Tanzania tungekuwa mbali.

Hata hivyo, japokuwa watanzania wana sifa ya kusahau haraka ahadi hewa kuliko binadamu wengine barani Afrika, kuna wasi wasi kwamba wakati huu chama tawala [CCM] kikashangazwa na nguvu ya kura [protest vote] kutokana na kupoteza imani na dhamana waliyopewa na wananchi.

Jaribu kufikiria, maisha lavish wanayoishi wabunge.Mishahara ni unyonyaji mkubwa - inakuwaje boss wa TRA alipwe milioni sita [6,000,000 plus] kwa mwezi mmoja, halafu mwuguzi alipwe chini ya 100,000 kwa mwezi?Hapa ndipo patamtoa jasho mwanajeshi mstaafu.

Na sasa wafanyakazi wanaandamana wakipigania haki yao ya kimsingi; hivi kweli rais na baraza lake la mawaziri pamoja na wabunge wanalala usingizi mzuri? Nauliza hivyo kwasababu nataka kujua endapo wana chembe chembe zozote za uchungu wa kuwakwamua watanzania wenzao.

Kwa kawaida mwezi una wastani wa siku 30, kima cha chini cha mtumishi wa sekta ya umma ni shilingi 78,000 - kwetu sisi tusiofahamu vyema hesabu ukigawa hicho kipato kwa 30 unapata jibu la shilingi 2600 kwa siku.

Mathalan, mtumishi anayepata huo mshahara anaishi nyumba ya kupanga [15,000 kwa mwezi], ana watoto wanne walio chini ya umri wa miaka 18.Anaishi Mbagala, kibarua anafanya maeneo ya Magogoni kama mlinzi wa ofisi ya wizara ya mambo ya nje - nauli kwa siku 1000.

Mpaka hapo sijaweka hesabu za chakula na matibabu.Sijajumlisha mambo ya ada ya shule kwa watoto.Huyu mtumishi anatoa wapi hiyo fedha nyingine inayohitajika aishi kwa uhakika wa kujua kesho atakula nini yeye na familia yake?

Jamani mbona hatuoneani huruma?Siamini kabisa viongozi wetu wana ubinadamu, ukweli ni kwamba wamebadilika na kuwa madubwana [monsters] wamejawa na unafiki, uchoyo na roho mbaya.

Kibaya zaidi ni kwamba nahodha Kikwete anachekelea japokuwa anaona jahazi likizama chini ya usimamizi wake, kuna mageuzi yanaendelea chini chini ambayo mwisho wake utakuja kuwa historia kubwa kwa CCM na siasa za Tanzania.

Fikiria serikali inaulizwa kuhusu matumizi ya sarafu ya dola, waziri husika anasimama na kukanusha kwamba: "hilo siyo tatizo; hakuna kitu kama hicho, shilingi bado ndiyo sarafu rasmi ya Tanzania,"

Naye waziri mkuu badala ya kukiri na kuahidi kuchukua hatua kurekebisha, anasema "serikali itatoa tamko".Hayo matamko hayatufikishi popote,DONT TRVIALISE MATTERS OF NATIONAL SECURITY, MATTERS OF NATIONAL INTEREST....tukuulize kwani benki kuu kazi yake nini?Ina maana wao au wewe hujui hilo MR EL?

Hatujasau malumbano ya posho ya wanafunzi, ingawa nasikia chuo kikuu kipya [Chimwaga University] kitakuwa na wanafunzi 20,000, kama ni 3000 kashese, basi wakiwa 23,000 litakuwa JISHESHE!

Kuna pia swala la marekebisho ya katiba, kuna swala la mikataba ya madini, kuna maafisa wa serikali wanaojulikana kufanya ubadhirifu wa fedha za umma [Richmond]......Bank of Tanzania maafisa wamesema hawajiuzulu [lakini ulisikia wapi mtanzania akajiuzulu ulaji?] anyway, orodha ni ndefu.

Hivi...mheshimiwa rais...unataka kutueleza sisi watanzania [waajiri wako] kwamba maafisa wako wote waandamizi ni wasafi?Kwa maana kwamba tangu uingie madarakani haujawahi kubahatika kumpata afisa hata mmoja aliyefanya uhalifu.Una bahati kweli kuzungukwa na watu wasafi....kila la heri, historia itakukumbuka sana kwa mema unayowafanyia watanzania.....Ndiyo, maisha bora kwa kila mtanzania.

Support uliyokuwa nayo ni kubwa, ni vyema kusema haujaipoteza yote.Bado una nafasi, nafasi ya kurekebisha.Vinginevyo historia itakuadhibu, it's time to do something; WALK THE TALK, action with big strides.SEE YOU AROUND MR PRESIDENT.