Wednesday, August 15, 2007

Mheshimwa Zitto Kabwe Asimamishwa Ubunge!

Mh. Zitto Kabwe

Ama kweli huko Tanzania siasa zinachemka. Habari kwenye ippmedia.com zinasema kuwa Mbunge wa Chadema, Zitto Kabwe, amesimamishwa Ubunge baada ya mzozo bungeni.

*****************************************************************************

From ippmedia.com

Kabwe suspended 2007-08-15 08:52:39

By Pascal Shao, Dodoma


A day of heated debate triggered by a private motion ended dramatically here yesterday with the mover, MP Zitto Kabwe, being suspended after the House voted against him by acclamation. CCM legislator Mudhihir Mudhihir moved a motion to have outspoken Kabwe suspended, saying the MP should be penalised for humiliating Energy and Minerals minister Nazir Karamagi.

Mudhihir suggested that Kabwe be suspended for cheating the House when he accused the minister Karamagi in Parliament on July 17, 2007 of lying in regard to a controversial mining contract which the minister had signed in London.

MPs who spoke in support of Kabwe`s suspension were John Malecela (CCM-Mtera), Adam Malima (CCM-Mkuranga), and Stella Manyenga (CCM-Special Seats). The North-Kigoma (Chadema) MP had earlier kept the minister on his toes throughout the prolonged House session, after he had tabled a private motion requiring the formation of a committee to investigate the mining contract.

Karamagi and a commercial miner signed the Buzwagi Mine deal in February this year, triggering a controversy that has touched off debate among legislators. The latest deal comes at a time when the government is reviewing mining contracts, policies and laws to create what has been termed a win-win situation.

The proposed Parliamentary committee, according to Kabwe, should be tasked to investigate the review of mining contracts signed between the government and investors. He said the on-going mining review process was marred by irregularities and questioned the removal of a provision on Income Tax of 1973 on the 15 per cent capitation allowance on unredeemed qualifying capital expenditure without Parliamentary approval. Kabwe's motion sparked off heated debate, and the House was split into two camps.

The legislator questioned the fast-tracking approach used in signing the contract between the government and Barrick Gold, who own the Buzwagi project. `What basis did the minister use to justify the signing? Why did he say that the contract he signed in London was perfect and had no shortcomings?` he asked. Karamagi told the House on June 16 this year that Buzwagi was simply a marginal mine and that Barrick Gold owned only three mines ? Bulyanhulu, North Mara Gold Mines and Pangea Minerals Limited (Tulawaka) - and according to his statement, Buzwagi was not a mine.

If Buzwagi is not a mine but a project, why did the minister sign the new MDA? According to my understanding, Buzwagi is the second Barrick Gold investment. They have invested $400m on the mine,` he said. `If Buzwagi is a minor mine, why is it that its investment capital has surpassed that of Tulawaka and North Mara?` he queried.

According to the MP, minister Karamagi signed the contract even before the National Environmental Management Council had conducted an environment impact assessment. Kabwe said he had personally reviewed the Finance Act 2002 and also found that in Section 8 of the Income Tax Act of 1973 on the 15 per cent capitation allowance on unredeemed, the Mining Act was not mentioned. The then Finance Minister, Basil Mramba, had once mentioned the ambiguity on the section.

My question is: Why are the mining companies that signed contracts with the government since July 1, 2001 yet to start paying income tax?` questioned Kabwe. All these controversial questions can clearly be disclosed by the proposed parliamentary probe committee ? which can unearth violations of law and corruption elements in these contracts,` he said. `It is a national issue and should be not taken as a party affair.

I believe that fellow legislators will make a decision for the benefit of our country,`Kabwe said. Responding, Minister for Energy and Minerals Nazir Karamagi said Buzwagi was still a project and would qualify to be a mine after being issued with a mining licence, which would be issued after completion of the construction of premises and commencement of mining activities. `Buzwagi is a marginal mine, whose life span is short.

Without using the existing opportunity, especially the price of gold, its investment would not be profitable,` said the minister. `The ministry evaluated the project and found that investors were developing it into a mine. Comparing investments made on Bulyanhulu, which was set up in the 1990s, with the Buzwagi mine that is expected to be constructed in 2008 is not proper, considering the current inflation rate and value of money,` said the minister.

He said Parliament had made amendments to the Income Tax of 1973 and the House had agreed to delete the 15 per cent additional capital allowance on unredeemed qualifying capital expenditure without considering mining contracts the government had signed with mining companies under the Mining Act of 1998, which was instituted before the changes were made. Karamagi said the meaning of the amendments was that the 15 per cent additional capital allowance on unredeemed qualifying capital expenditure would be refunded to the mining companies that signed contracts with the government before July 1, 2001.

`This is reason the mines that signed contract with the government before the July 1, 2001 continued with the 15 per cent additional capital allowance on unredeemed qualifying capital expenditure even after the removal of that section,` he said.

SOURCE: Guardian

7 comments:

Anonymous said...

CCM Jembe na Nyundo sawa. Ila wameuwasha moto ndani ya nyumba ya makuti. Ieleweke kuwa Vijana wa TAnzania hawapingi maamuzi ya Bunge TUKUTU ila wanakubali ushujaa wa kijana mwenzetu ndani ya chaka la wazee. Kichagga wanasema'Kooocha Munamangi!!Big Up Zitto!

Hata kama wanapanga mabaya Mungu yuko anawaona na wakumbuke kakuna atakayebaki wa MBEGU!!!

JK silikiza 'Salamu zangu Kwako' kumbuka uliulizwa unataka kuruka kwa Ari, NGUvu na KAsi mpya (ANGUKA) umeagana na nyonga wewe? Angalia baba wabaya wako wana rangi na ufundi wa kukuzidi. Si kila asiyecheka ana mapengo!!!

adagio

Anonymous said...

demokrasia imengia doa
Sitta na Karamagi wachunguzwe. Swala kubwa wachunguzwe na nani??
Kabwe amefanya kazi yake, wao wanataka kumnyamazisha-huyu Sitta hafai kuwa spika wa bunge!!

Anonymous said...

Kuna watu wenye mawazo finyu wanamtuhumu Zito Kabwe kuwa si raia wa Tanzania.

Lakini wanasahau kuwa mabadiliko mazuri katika nchi yaweza letwa na raia wa nje wenye uchungu na nchi yako hata kama si raia wa nchi hiyo.

Wazawa waweza shundwa kuleta mabadiliko nchini mwao wageni wakawasaidia.Kwa mfano, waganda walimshindwa Idd Amini watanzania wakamtoa.Sasa waganda wanaishi kwa Raha.

Afrika ya Kusini,Msumbiji,Angola n,k kote wamesaidiwa na wageni wa nchi zingine kupata uhuru wao wa kweli.

Kama watanzania tumeshindwa kuwakabili wahuni wa ndani ya nchi yetu wacha raia wa nje ya nchi watusaidie.Hakuna ubaya.

Nadhani nchi hii tunahitaji wageni watusaidie naona kama wazawa tunashindwa kudhibiti wahuni ndani ya nchi yetu.

Lazima baadhi ya watawala wahuni wajue kuwa Kuna wenye huruma na nchi hii hata kama si raia wa nchi hii kama kama sisi tulivyokuwa tunawahurumia waafrika wa wa Afrika ya kusini wakati sisi hatukuwa raia wa kule.

Lazima tujue pia wako raia wa mataifa mengine wanaoumia kwa mambo kihuni yanayoendelea humu Tanzania na wako tayari hata kutoa damu zao kama tulivyotoa zetu kupigania mataifa mengine Kama Uganda,Zimbabwe,Msumbiji,Angola n.k

Hatuna haja ya kuogopa wageni walio tayari kutusaidia.Let them come.I don`t care.Wawe wabwali,wahutu,watusi,banyamlenge au njanjaweed n.k cha muhimu yaje mabadiliko mazuri kwa wananchi.

Watanzania tusiogope wageni wanapokuja kutusaidia kupambana na wahuni ambao sisi tumewashindwa sababu ya kuendekeza woga na kulindana.

Watawala wahuni waliopewa madaraka ni vizuri wakajua kuwa usipolinda na kutetea maslahi ya mwananchi,Mwananchi ana haki ya kwenda kutafuta mamluki(Mercinaries) nje ya nchi kumsaidia kama walivyofanya Angola,Afrika ya kusini,Msumbiji,n.k.

Utawala ni serious issue watawala wawe Makini kuna kila dalili zinaanza kuonyesha wananchi wameanza kuwachoka watawala na Bunge wanaanza kupoteza imani kwalo kuhusu uwezo wake wa kutetea wananchi.

Anonymous said...

Bunge limempandisha chati Zitto pasipo kujua na mwishowe najua watajilaumu sana. Wajue ya kwamba Zitto anafanya kazi na alisomeshwa na FES sasa wajiulize taasisi hii inashughulikia masuala gani hasa katika nchi zinazoendelea. Kila alifanyalo Zitto hulenga pahala fulani najua mtego wake sasa umenasa. Serikali lazima ijifunze kitu kwa kila kinachotolewa maamuzi na si kukurupuka tu. Ni wakati sasa wa kuangalia na kutunga taratibu za kuainisha ni sifa zipi mtu anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuingia bungeni. Uzoefu tu hautoshi. Suala la elimu tungelipa kipaumbele. Maana mambo mengi ya bunge yanategemea upembuzi yakinifu kwa maana ya kufanya utafiti na kuelewa kwa undani nini kimeandikwa. Ningekuwa mmoja wa wadau katika serikali basi ningependekeza mbunge ili awe mbunge angalau awe na shahada katika fani yoyote. Hii itaturahishia uwezo wa kuwa na wabunge wataalam na wenye uelewa mkubwa kwa kila linaloletwa bungeni. Wabunge wengi ni mabubu bungeni si kwa sababu wanapenda kuwa hivyo la, ni kwa sababu ya kutoelewa nini kinaongelewa. Walio wengi wanaangalia leo na wala si kesho. Hawawezi kutofautisha mambo, kwao mwezi, nyota na jua ni kitu kile kile ili hali vyote vinatoa mwanga. Serikali inatakiwa kuwa makini katika hili hasa kukuza upinzani, serikali bila ya kuwa na upinzani wa kweli ni butu, kwani viongozi wake hulewa madaraka na kuwasahau waajiri wao ambao ni wananchi.

Anonymous said...

Huyu jamaa anamiliki around 39% ya hisa ktk Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) Co. Ltd ambayo inasimamia uingizaji,uondoaji na upakuaji wa makontena ktk bandari ya Dar Es Salaam.

Katika uteuzi wa kwanza wa Kikwete huyu mtu aliukwaa uwaziri wa Viwanda na Biashara (ambako alikuwa anahusika na usimamizi/uangalizi wa biashara za nchi nzima ikiwamo ile yake ya TICTS). Baadae akateuliwa ktk wizara aliyopo sasa ambayo inahusika kuruhusu mchanga wenye chembechembe (?) za dhahabu kusafirishwa ktk makontena kwenda nje ya nchi kupitia bandari ya Dar Es Salaam.

Ni tajiri sana kuliko mamia ya matajiri ninao wafahamu Tanzania.Kuna siku aliingia ktk benki moja mtaa wa Azikiwe, Dar Es Salaam akaenda kudroo US$ 2 million (narudia tena ni US$ 2 million) CASH. Benki nzima ilihaha maana hwakuwa nazo mda huo.

Ana mtoto wake mmoja wa kike mzuri sana, ni suriama yule. "Alioelewa" na Ufilipino ila ndoa haikudumu sana akarudi Bongo. Anaitwa Pila. Hadi mwaka juzi mwishoni alikuwa anafanya TICTS akila mshahara mnono saaaaaaaana.

Inadaiwa kuwa Karaha ya Maji ndiye aliechapisha fulana,kofia,bendera,beji,kanga na vipeperushi vya CCM ktk uchaguzi wa mwaka 2005.Vitu ambavyo viliingia bandarini bila kulipiwa kodi hata kidogo.

Karaha Ya Maji,utajiri wako umeupata vipi? TUELEZE TAFADHALI. Reggie Mengi yeye huwa anasema, tunaomba nawe pia utuambie.Tunaamini sio kwa rushwa na magendo.

Anonymous said...

Huyu jamaa (Karaha ya Maji) anamiliki around 39% ya hisa ktk Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) Co. Ltd ambayo inasimamia uingizaji,uondoaji na upakuaji wa makontena ktk bandari ya Dar Es Salaam.

Katika uteuzi wa kwanza wa Kikwete huyu mtu aliukwaa uwaziri wa Viwanda na Biashara (ambako alikuwa anahusika na usimamizi/uangalizi wa biashara za nchi nzima ikiwamo ile yake ya TICTS). Baadae akateuliwa ktk wizara aliyopo sasa ambayo inahusika kuruhusu mchanga wenye chembechembe (?) za dhahabu kusafirishwa ktk makontena kwenda nje ya nchi kupitia bandari ya Dar Es Salaam.

Ni tajiri sana kuliko mamia ya matajiri ninao wafahamu Tanzania.Kuna siku aliingia ktk benki moja mtaa wa Azikiwe, Dar Es Salaam akaenda kudroo US$ 2 million (narudia tena ni US$ 2 million) CASH. Benki nzima ilihaha maana hwakuwa nazo mda huo.

Ana mtoto wake mmoja wa kike mzuri sana, ni suriama yule. "Alioelewa" na Ufilipino ila ndoa haikudumu sana akarudi Bongo. Anaitwa Pila. Hadi mwaka juzi mwishoni alikuwa anafanya TICTS akila mshahara mnono saaaaaaaana.

Inadaiwa kuwa Karaha ya Maji ndiye aliechapisha fulana,kofia,bendera,beji,kanga na vipeperushi vya CCM ktk uchaguzi wa mwaka 2005.Vitu ambavyo viliingia bandarini bila kulipiwa kodi hata kidogo.

Karaha Ya Maji,utajiri wako umeupata vipi? TUELEZE TAFADHALI. Reggie Mengi yeye huwa anasema, tunaomba nawe pia utuambie.Tunaamini sio kwa rushwa na magendo.

Anonymous said...

JK analipa fadhila. Karamagi kafanya mengi wakati wa kampeni ya kumuweka JK madarakani. Kwa hiyo msitegemee JK atachukua hatua zozote!