Monday, August 20, 2007

Mwanamke wa kizungu auliwa na Ngamia wake


Leo nimesikia maajabu. Huko Australia mwanamke wa kizungu alikuwa anafuga ngamia kama vile watu wanavyofuga mbwa. Ngamia mwenyewe dume... katokea kumpenda huyo mwanamke. Sasa ngamia alitaka kufanya ngono na huyo mama. Ngamia kamwangusha chini na kumpanda kutaka kufanya mapenzi naye ndo kamwua!


Duniani kuna mambo!


***********************************************************************
Australia: pet camel looking to mate kills woman

2007-08-20

BEIJING, Aug. 20 (Xinhuanet) -- A pet male camel given as a gift that may have been looking for a mate killed an Australian woman, police said Sunday.

The camel, given to the woman on her 60th birthday, was killed Saturday at her family sheep and cattle ranch near Mitchell, about 350 miles west of the Queensland state capital of Brisbane, state police Detective Senior Constable Craig Gregory said.

The 330-pound, 10-month-old male had knocked the woman (police have not released her name) to the ground then lay on top of her in what police suspect was mating behavior, Gregory said.

Camel expert Chris Hill agreed with Gregory.

Hill, who has offered camel rides to tourists for 20 years, said young camels are not aggressive but can be dangerous if treated as pets without discipline.

The woman was given the hand-reared camel in March as a birthday present from her husband and daughter.

The fate of the camel is not known.

An autopsy of the woman will determine the precise cause of death within days.

8 comments:

Anonymous said...

Mungu amlaze mahali pema mbinguni. Amen.

Ila hao wazungu wanachukua wanyama wa porini na kuwafanya pet. Hayahuyo ngamia kamwona mke.

Anonymous said...

Wazungu ni watu wa ajabu sana sidhani kama ni binadamu halisi. Mimi naamini huyo mama alimzoesha huyo ngamia mambo fulani fulani ya kumtomasa nk. Haiwezekani ngamia atoke atokakako amlale huyo mzungu. alizoea kuchezea nyeti zake na ndo Ngamia akamuonyesha kuwa naweza pia sio kila siku unipandishe****

Anonymous said...

Alimvuaje nguo??? Mmh!! Sidhani kama kuna ukweli. Ni game lao la kila siku. Kazidiwa nguvu

Anonymous said...

Sio kosa la ngamia. Wazungu wanafanya ngono ovyo, na watoto, wajinsia moja, na wanyama nk halafu mnajiuliza ukimwi ulitoka wapi? binaadamu alizidisha mpaka Mungu kakasirika!
Huyu ngamia alisha fanyaga siku hiyo alizidisha.

Anonymous said...

Hapo da Chem msizungushe lugha, inaonekana huyu mama alikuwa anakula uroda na huyu ngamia, sasa siku hiyo akazidiwa nguvu kwa ku-apply style ambayo ngamia akamlalia moja kwa moja. Haiingii akilini kwamba ngamia amtamani mwanamke bila ya kufundishwa kwamba naye anaweza kutumika kwa matumizi hayo.

Heee heee kweli gender equality is a long way to go.

Anonymous said...

Waarabu huko jangwani walikuwa wanafanya ngono na ngamia wa kike. Ndo chanzo cha ule ugonjwa kaswende. Unakuta mwarabu kaoa kabisa ngamia wake. Haya. Huyo ngamia dume alitaka kuoa bindamu!

Anonymous said...

Can you people be serious at least once in your lives??? This woman LOST HER LIFE na nyie mnafanya utani kama ni nzi kafa??? Acheni upumbavu basi maana na nyie hamjui kicho chenu kitakuwaje....

Anonymous said...

hayo ndio mambo ya 'you killing me '
matokeo yake wafa kweli!!!!!!!!!!!
sasa mimi hobby nisemaje au niseme pole! mwenye macho naaone na mwenye masikio na.................!!!!!!!!!