Wednesday, March 14, 2012

Moto Mjini Boston, Massachsuetts!

Wadau, zaidi ya watu 20,000 hawana umeme mjini Boston leo baada ya transfoma kulipuka karibu na Shreaton Hotel Dalton St.  Halafu watu wameambiwa waondoke kwenye hoteli na majumba! Red Cross inasaidia.  Ofisi nyingi zimefungwa!  Ni balaa.

Mimi niko salama, nakaa Cambridge kuvuka mtoni.


No comments: