Tuesday, March 20, 2012

Tanzia - Mzee Dick Lobo

Mr & Mrs. Lobo mwaka 2009
Wadau, nimepata taarifa kuwa Mzee Dick Lobo amefariki dunia akiwa safarini Bethelem, Palestine.

Mzee Lobo alikuwa mume wa Mwalimu wangu mpendwa, Mrs. Tina Lobo (Auntie Lobo) Zanaki.  Hadi leo tulikuwa na uhusiano mzuri na familia nzima ya Lobo.  Mzee Lobo alikuwa na upendo kwa wote bila kujali rangi.  Yeye, Mwalimu Lobo na wanae walikuwa wanakata mitaa uswahilini kusalimia marafiki wao. Hata nilipojifungua walikuja nyumbani kwangu kunisalimia.

Mwanao Lois, ni mtunzi wa kitabu, " They Came to Africa: 200 Years of the Asian Presence in Tanzania" http://www.amazon.com/They-Came-Africa-Presence-Tanzania/dp/9987889913

Mungu ailaze oho ya Mzee Lobo mahala pema mbinguni.

**********************

It is with profound sadness that we announce the passing, in Bethlehem, Palestine on March 19th, 2012 of Diogo Lobo, husband of Tina Lobo, dad to Mervyn, Beulah and Lois. Pa to Ghislaine, Shimona, Eamonne, Carylye, Stephen and Elora.


Funeral arrangements will be announced later.

Mervyn Lobo & family.

2 comments:

Nampangala said...

pole sana mlongo ndio maisha- tungependa wote tubakie apa duniani. Mungu amuweke mahali pema peponi.

Anonymous said...

Rest in Peace Mr. Lobo.