Saturday, March 31, 2012

Walimu Zimbabwe Wauza Vitabu Viliyotolewa Kama Msaada

Umasakini jamani!  Leo, kuna habari kuwa vitabu viliyotolewa na UNICEF kwa ajili ya watoto wa shule Zimbabwe, zimeuzwa badala ya kupewa wanafunzi. Aibu kweli!

****************************************************

 HARARE, Zimbabwe (AP) - Zimbabwe's education ministry says it is investigating into how school text books donated by the U.N. children's agency wind up in the hands of bookstores and street vendors.

The United Nations Children's Fund has supplied 22 million books since late 2010 after a decade of economic meltdown that left many schools without teaching materials. In some schools, scores of pupils shared a single book.

Education Minister David Coltart said Friday culprits behind the theft of books - officially the property of government schools - will be prosecuted

 The books, stamped and identifiable, sell for up to $10 on the street. A main teachers union says teachers may be stealing to make up for poor salaries.

4 comments:

Anonymous said...

OMG! That's disgusting and shameful!

Anonymous said...

Zimbabwe siyo ile ya zamani! Watu njaa tupu!

Anonymous said...

Wizi ni Wizi na ni kosa la jinai,binafsi nimeiona hali ya Zimbabwe zamani na sasa inasikitisha hasa watumishi walimu nawengine wanishi katika hali ngumu sana.Kunawakimbizi wengi kutoka Zimbabwe nchini Botswana,Zambia na South Africa hii kutokana na hali mbaya uongozi na uchumi.Kwahiyo wakulaumiwa ni JAMBAZI MUGABE aliyejenga majumba ya kifahari ASIA.

Anonymous said...

Shame on MUGABE and his HENCHMEN! Such a bunch of hypocrites [ie the Zimbabwen LEADERSHIP / POLITICIANS]... Shame shame shame!