Thursday, March 01, 2012

Tanzania Music Television Iko Hewani!

Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona Online na pia ktk DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer yako kwa linki hii http://www.tmtv.co.tz./

Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.

Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES, aina zote kama za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRU SATTELITE.

TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.

TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha music ya kibongo mchanganyiko 24/7.

TMTV ina vipindi 10,

BENDI ZETU

SWAHILI HIP HOP

ZILIPENDWA

TAARABU

NYIMBO ZA ASILI

NYIMBO ZA DINI

SALAMU BOX

BONGO BOX

TMTV TOP 10

VIPAJI na

MUSIC NEWS.

Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha

Link http://www.tmtv.co.tz/ Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.

Email. info@tmtv.co.tz

No comments: