Tuesday, March 13, 2012

Mtandao wa Filamu za Tanzania

Karibu  katika mtandao wetu unaongelea habari za filamu za Tanzania unaojulikana kwa jina www.filamucentral.co.tz, ! Sasa tupo katika mchakato wa kuandaa tuzo za filamu zitakazojulikana kama Swahili film awards (SFA) Tuzo hizi zinakuja baada ya mafanikio ya tuzo tulizotoa mwaka 2010 zikijulikana kama BORA ZA 2010.

No comments: