Thursday, August 09, 2012

Rais Kikwete Awasili Accra Kushiriki Mazishi ya Rais wa Ghana, John Evans Atta Mills

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI ACCRA KUSHIRIKI MAZISHI YA RAIS WA GHANA JOHN EVANS ATTA MILLS


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili leo Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa Agosti 10, 2012.

PICHA NA IKULU

No comments: