Saturday, December 15, 2012

Msiba - Springfield, MA - Mzee Edson Mwandemani

The late Mzee Edson Mwandemani
arifa za msiba wa mzee wetu, baba yetu Edson Mwandemani (72) alifariki jana Ijumaa akiwa amelazwa katika hospitali ya Bay State Medical Center.

Juhudi kubwa zinaendelea kukusanya michango kwa ajili ya kuurejesha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania. Tafadhali tunaomba michango itumwe kwa kupitia Richard Mwandemani Bank Of America Routing number 011000138 Account #004643403251

Msiba uko nyumbani kwa Richard 113 Enfield Street, Indian Orchard, Mass 01151
Kwa taarifa zaidi za msiba unaweza kuwasiliana na:

Richard Mwandemani (413) 262-0400
Isaac Kibodya (413) 219-1153
Kawala Mgawe (413) 330-1609

Tutaendelea kuwaletea taarifa kadri tutakavyozipata.

1 comment:

Anonymous said...

RIP SIR MWANDEMANI! (HARRY'S DAD)
Baba wa Taifa Pilot!